Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

Nijuavyo mm kombe la Dunia linashikwa na mkuu wa nchi tu, kwahiyo uwakilishi hapo hakuna mkuu,japo ni aibu Kwa Taifa hatujawahi kushiriki hata mara moja
 
..kombe la dunia halitutii hasara.

..ndege zimetutia hasara wakati wa kununua, na kila mwaka ktk uendeshaji wa shirika la ndege.
 
Unapoteza muda wako kumwelewesha chizi
 
Lile jamaa lilikuwa na mbwembwe za kishamba sana. Eti likaenda bandarini kuokota vichwa vya treni visitors na mwenyewe....

Wakati ubavuni vina nembo ya TRL
Pia akaenda kuzindua reli iliyojengwa na wajerumani miaka ya 1880
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…