Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

Najiuliza mbona kadogo vile? Hata halisi wamelipunguza hivyo?
 
Kwa ushahidi gani ulioweka kuwa lile ni fake? Najua lengo lako ni kumjemgea image mbaya Mama Samia wewe Sukuma Gang Bin Mataga
Nililitegemea hili kwani kuna Mazuzu mnadhani Rais akikosolewa au Serikali yake basi Mtu ana Chuki nae / nao.
 
Lete evidence POPOMA
 
Nasubiri mnibishie.

Nabisha, naomba ulete ushahidi wa hili!

Kombe la dunia linalotembezwa ni Og, kwa taarifa yako nadhani hujui hili!
Lile kombe wanalopewa wachezaji kwenye fainali ndiyo replica sasa, Og huwa linaingizwa uwanjani siku ya kwanza kabisa ya ufunguzi wa fainali na mechi ya mwishi ya fainali, baada ya hapo linarudi kuifadhiwa makao makuu ya Fifa na halitoki pale hadi wakati wa tour kama ilivyo hivi sasa.
Mwisho wa mashindano wachezaji wanaoshinda wanapewa Og pale uwanjani wanalishika na kusherea nalo ushindi, baada ya hapo wanapewa replica ambayo imetengenezwa na madini ya shaba then ikafunikwa na gold kwa juu, ambalo ndio hukaa nalo na og kuchukuliwa kwenda kuhifadhia makao makuu ya Fifa.
So kama ulikuwa hujui ni kwamba hata hao mabingwa watetezi hawako na kombe la dunia Original.
Wakati wa tout kama ilivyo sasa basi kombe Og linazungushwa dunia kwa baadhi ya nchi na si zote.

Kama una ushahidi usio na shaka pamoja na kuleta vyanzo kwamba hili linalozunguwa ni replica leta, otherwise wewe utakuwa ndiye popoma square kwa kuleta habari za kuokotq mtaani.

 
Tuwekee hiyo Sheria tuisome.
 
Huyo ni Popoma sana,anapenda sana attentions za kipumbavu.
 
Uhuru alilipokea na akaongea nao ofisini dakika chache akaondoka, sisi hadi sherehe limefanyiwa na hotuba juu,
 

Wewe hata hujui, France hana kombe original!
Hiyo sheria unayozungumzia kuwa Fifa hawana uwezo wa kulichikua kombe hilo kutoka France ni ipi?
Ilete tafadhali…
Kwa taarifa yako France alipewa pale uwanjani siku anashinda kombe Og, baada ya hapo lilichukuliwa akapewa replica ambayo lipo kwenye kabati lao, og ikarudi kwenye makao makuu ya Fifa, ndilo linazunguka hivi sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…