Rais Samia akiri Watanzania hawana furaha

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466

Akiwaapisha wateule Ikulu, Rais Samia Kwa kinywa chake amekataa article ya kitapeli inayosemwa Tanzania ni ya 3 Kwa wananchi wake kuwa na furaha.

Rais Samia amekataa utafiti huo uchwara na kusema Watanzania hawana furaha.

Kwahiyo Wananzengo mpaka Rais anajuwa Watanzania tunaishi kama tupo jela tu.

Habari ndio hiyo.
 
Uzuri wa Samia ni Msema Ukweli.

Mwasamba amezipata hizi habari?
 
ndiyo, ni kweli
hiyo ni kumaanisha furaha yake Rais, comrade DR SSH, na ya waTanzania wote ni kuona maji safi na salama yanapatikana kwa uhakika na yanawafikia waTanzania wote popote walipo πŸ’

Furaha yake na ya waTanzania wote nikuona hudumu za afya, nishati na elimu zinapatikana kwa uhakika na kuwatosheleza waTanzania wote popote walipo πŸ’

na katika hudumu nyingine zote unazozifahamu kiuchumi, kijamii na kisiasa , Rais angependelea hao alowaapisha na watendaji wengine kufanya bidii zaidi na kupeleka tabasamu ya huduma za uhakika kwa wanainchi na hatimae CHEKO KAMILI la haja Oct.2025πŸ’
 
Umegeuka ghafla.....Chawa pro
 
Ongeza bidii huenda ukaambulia visenti kwenye kampeni za serikali za mtaa.
 
Tafiti uchwara kama hiyo hupendwa na team CHAWA akina Lucas, choicevariable, nk ambao huzishikia bango kweli kweli
 
Nchi zenye furaha duniani utaona hata wanawake wanafuraha na wazuri pia
Utafiti huo sio mimi
Waliofika Finland, Denmark, Norway au Iceland watanielewa

Hivi mna furaha gani kutwa mnalalamika humu?
Hata yeye anawachora humu wakataa ndoa πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…