Rais Samia akiri Watanzania hawana furaha

Lucas mwashambwa anasemaje
 
Chawa ambao walikuwa wanatoa sifa kede kede,kwamba chini ya mama watu wanacheka kwa furaha watabadili msemo chap kuendana na kauli ya boss.
 
Ongeza bidii huenda ukaambulia visenti kwenye kampeni za serikali za mtaa.
serikali za mitaa nipo,
na nitakuepo kikamilifu kuhakikisha viongozi makini, wenye sifa, wabunifu, waadilifu, mahiri na wanaokubalika na wananchi katika kuwaletea tabasamu waTanzania wote wa eneo husika, ndio wanachaguliwa kuongoza wenzao kwa weledi bila mbambamba πŸ’

Na kwa Neema na Baraka za Mungu na 2025 katika kumpatia mtanzania kicheko ntakuepo vilevile,
Kwan nini mbaya na kuna shida ganπŸ’
 
Amekataa kwa kusema nini. We ni dk wa nini
 
Hii ilitakiwa iwe thread kabisa.

Tupeana mwaliko wa kufuturu.
 
Anajua watakuaje na furaha wakati wanaamka saa 9 usiku kufuata maji umbali wa km 10+, wakienda hospital tena za serikali bila pesa hutibiwi wakikuonea huruma watakupa panadol hata kama una malaria kali, sukari ndio usiseme kila mfanyabiashara ana bei yake na hakuna wa kuwagusa, bado kuna chawa wanamsifia uongo kwa ajili ya kujaza utumbo mpana wao, umeme sio wa uhakika, mfumuko wa bei, nauli za usafiri wa umma zimepanda wakati mishahara ipo palepale, kuwa mbunge angalao ujue kusoma na kuandika halafu mbunge huyo huyo anategemewa kutunga sheria inayoenda kusimamiwa wanasheria wasomi, ripoti za CAG za miaka yote wahusika wapo mtaani wanadunda na hakuna wa kuwagusa.

Barabara mbovu baada ya mvua za El nino hazijakarabatiwa ni porojo kila kukicha.
 
Chawa wa mama kazini. Akigeuka na nyie mnageuka.
 
Yeye ndo alipaswa kutufanya tuwe na furaha alkini wwpi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…