Rais Samia akiri Watanzania hawana furaha

Chawa wa mama kazini. Akigeuka na nyie mnageuka.
mpaka kwenye uchaguzi wa serika za mitaa waTanzania wote lazima wawe na long smile πŸ€“
coz maji safi na salama yatakua bwerere, yakutosha na ya uhakika, umeme, afya elimu and everything navyo ni kama kawa more πŸ”₯πŸ’

na Oct 2025 ni cheko la ushindi wa kishindo aise 🀣
 
Lucas anaigiza [emoji23][emoji23]
Mwashambwa, siamini kuwa hana akili kwa kiwango kile anachoonesha humu. Nadhani ama unafiki umevuka mipaka au maisha yake magumu yamemfanya awe tayari kufanya vituko vya kila aina akiamini labda hivyo vituko vitamsaidia angalao kushibisha tumbo lake ambalo lina tamaa kubwa ya kushiba kwa njia zozote zile.
 
Huyu mama ni mkweli Ila kuna wapuuzi wanampandikiza uongo.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20240313_123545.jpg
    361.7 KB · Views: 3
 
Tanzania hata kama una kipato cha milioni 10 kwa mwezi bado hutaweza kuishi kwa Furaha maana waliokuzunguka wana maisha magumu
Kabisa maana wakati wewe unaagiza vx huku ndugu zako Hali mbaya
 
Tukiambiwa Mazaa anapitaga humu jamani tujadiliane kwa staha mnabisha.
 
Wenzie walifanya utafiti wakaona Wabongo Wana furaha Sasa yeye anakana Kwa nini? 😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…