usiharibu maada, Allah akujaalie uone nuru na utoke katika giza- AaaminKumekucha.
Ni mwendo wa kuita majini tu
hujamfahamu vizuri kakusudia nini au umekusudia kupindisha. kwa maana hio tunakosea vyo kikuu kutoruhusu wanafunzi waingie na madesa siku ya mtihani? Unajua faida utayopata wewe siku ya hesabu kama mzee endapo mtoto wako akihifadhi Quran?Knowledge is not what is memorized. Knowledge is what benefits. By imam Shafi'i
Huna hata jema. Huo ujumbe nilioweka hapo kuna mahali nimekosoa au kupindisha. Udini utakuua ndio maana hata ukiambiwa ibada njema utasema unakejeriwa.hujamfahamu vizuri kakusudia nini au umekusudia kupindisha. kwa maana hio tunakosea vyo kikuu kutoruhusu wanafunzi waingie na madesa siku ya mtihani? Unajua faida utayopata wewe siku ya hesabu kama mzee endapo mtoto wako akihifadhi Quran?
Aombewe tahfifu na aaamin atatokea kutia neno.Maghayo umepata siti ?
š š šAombewe tahfifu na aaamin atatokea kutia neno.
Una ujumbe wowote kwa mgeni maalum?Faida nyingine Quran inapinga Dhuluma katika kudhulumu Uhai wa Watu, kwa njia ya kuzuia Utekaji, Mauaji na kwa namna zingine
Allah alisimamie hili, Amin
HehehehMohammed alisema kuwa wanawake ni wajinga na wengi wa watu walio kuzimu ni wanawake. Ni jambo la kuchekesha, ukizingatia kwamba mlipuaji wa kujitoa muhanga wa kigaidi au mtu aliyeuawa kishahidi katika jihad ameahidiwa mabikira 72 mbinguni.
Pia, kama watu wengi kuzimu ni wanawake, na watu wengi mbinguni ni kama Osama Bin Laden na watu wengine wenye ndevu kama Mohammed, nadhani wanaume wengi wangetamani kwenda kuzimu kuliko mbinguni.
kafiri nawewe kumbe unajuajuaš¤£š¤£Takbiiiiir!
Ulikusudia kufanyaje?Huna hata jema. Huo ujumbe nilioweka hapo kuna mahali nimekosoa au kupindisha. Udini utakuua ndio maana hata ukiambiwa ibada njema utasema unakejeriwa.
Kasome nilichoandika, acha kujibu kwa mihemko, dini tumezikuta na tutaziachaUlikusudia kufanyaje?