- Thread starter
- #41
Unaumia ?Maisha ya Madina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumia ?Maisha ya Madina
wee njoo shidayako si mabikra?🤣🤣🤣🤣🤣utawapataNikija tu, nataka nikabidhiwe mabikira wangu 72. Sihitaji mpaka siku ya kifo. Nawataka wakati bado nipo hai.
Nenda kwenye hilo shindano wako kibao na kuzidi haoNikija tu, nataka nikabidhiwe mabikira wangu 72. Sihitaji mpaka siku ya kifo. Nawataka wakati bado nipo hai.
Mbona watu wakijazana Mkapa asubuhi mpaka jioni huku wakipiga kelele, wakilipa pesa, wakiacha familia yao kwa ajili ya X Day , huoni wajinga? unamuona mjinga yule anaenda kupata kheri, ukapimwe akili wewe jamaaMijitu yenye rangi nyeusi ni kama ina laana hivi, ulimwengu upo kwenye nyakati za 4th industrial rev. Sisi bado tunashindana kuhifadhi stori za kusadikika kichwani, hii inafanya hata nape aonekane ni mtu mwenye akili kubwa kwa kutuletea 'mdoli' Eunice
Mwendo Wa Ngiri Mkia JuuKumekucha.
Ni mwendo wa kuita majini tu
Hapa ndio naamni ujuha wako.kila mtu na kipaumbele chake. kama wewe unashinda asubuhi kwa mkapa mpaka jioni kwa ajili ya Simba na Yanga wakati hata shilingi hupati, wanaopata wachezaji unajiona unaakili, kwangu wewe sawa sawa na Juha tu. bora yule anaebeba makopo barabarani
majini wakiitwa tunaona kwenye video kwa GWAJIMAMwendo Wa Ngiri Mkia Juu
Ndio, Chawa wa AllahHapa ndio naamni ujuha wako.
Kweli dini imefanikiwa kukuweka mateka.
Wallah tena lazima niende kuchungulia ili nijionee mwenyewe kwa macho yangu neema za Allah.Nenda kwenye hilo shindano wako kibao na kuzidi hao
Ila Mwambie Allah kuwa unawachukua in advance ili ukifa ukifika peponi usipewe tena ubaki kapela sababu mgao wako ulishapata hapahapa duniani
Takbiriiii
halafu uanjiona unaakili? ukiumwa na kidole tu unapiga kelele kucha. kweli wewe akili zako unaziweka mfukoniHapa ndio naamni ujuha wako.
Kweli dini imefanikiwa kukuweka mateka.
Heri ipi wakati imani zenu zinakataza mwanamke kusimama mbele ya mwanaumeMbona watu wakijazana Mkapa asubuhi mpaka jioni huku wakipiga kelele, wakilipa pesa, wakiacha familia yao kwa ajili ya X Day , huoni wajinga? unamuona mjinga yule anaenda kupata kheri, ukapimwe akili wewe jamaa
Uzima wa milele tukiwa pamoja na malaika tukisifu na kumuabudu mwenye nguvu kuu,,,haja zote za kimwili hazitakuwepo,,,,itakua ni upendo ,furaha na amani kwenda mbeleDini yako wewe ukienda unapewa nini? Kwanza ujue wewe unapewa nini kabla hujauliza wenzio
Ukitaka kujua udogo wa IQ za watu, unaziona huku kwenye kuchangia mada!Kumekucha.
Ni mwendo wa kuita majini tu
Murder, theft, rape, bigamy, pedophoelia, violent conquest, genocide, torture, extortion, inciting violence, slavery, oppressing the rights of others (speech, religion, expression, thought, sexual choice etc.), lying (on a massive scale), manipulation, jealousy, adultery, the list goes on and on.Mbona watu wakijazana Mkapa asubuhi mpaka jioni huku wakipiga kelele, wakilipa pesa, wakiacha familia yao kwa ajili ya X Day , huoni wajinga? unamuona mjinga yule anaenda kupata kheri, ukapimwe akili wewe jamaa
Inahuzunisha na kusikitisha wakati fulani. Wenzetu Wazungu walikipita hiki kipindi miaka mingi iliyopita! Enzi za Middle Ages! Na leo hii wako busy na Sayansi.Mijitu yenye rangi nyeusi ni kama ina laana hivi, ulimwengu upo kwenye nyakati za 4th industrial rev. Sisi bado tunashindana kuhifadhi stori za kusadikika kichwani, hii inafanya hata nape aonekane ni mtu mwenye akili kubwa kwa kutuletea 'mdoli' Eunice
kuna kheri gani katika kukariri mambo ya kusadikika? Ni sawa sawa na kujivunia kukariri gazeti la nipashe, malaria yako inaonekana imepanda kichwani.Mbona watu wakijazana Mkapa asubuhi mpaka jioni huku wakipiga kelele, wakilipa pesa, wakiacha familia yao kwa ajili ya X Day , huoni wajinga? unamuona mjinga yule anaenda kupata kheri, ukapimwe akili wewe jamaa
yenu inakataza mwanamke kuwa PAPA, askofu wa mtume. unalo jengine?Heri ipi wakati imani zenu zinakataza mwanamke kusimama mbele ya mwanaume
kama unashindwa kukariri biblia, umekasirika wanawake kuhifadhi Quran?kuna kheri gani katika kukariri mambo ya kusadikika? Ni sawa sawa na kujivunia kukariri gazeti la nipashe, malaria yako inaonekana imepanda kichwani.
Unaweza ukanitajia daraja hata moja lililo wahi kujengwa kutokana na maarifa/uwezo wa kukariri quran au biblia?