Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake

Zalikal-kitab la raiba fih, hudal lil-muttaqin

Kitabu kisicho na shaka ndani yake ili kiwe muongozo kwa wenye kuamini.
 
Inahuzunisha na kusikitisha wakati fulani. Wenzetu Wazungu walikipita hiki kipindi miaka mingi iliyopita! Enzi za Middle Ages! Na leo hii wako busy na Sayansi.
Inasikitisha sana, Ndio maana niliwahi kuandika humu kuwa mtu mweusi ni binadamu ambaye bado yupo kwenye stages za evolution, bado hajatimia kuwa binadamu kamili.
 
Heri ipi wakati imani zenu zinakataza mwanamke kusimama mbele ya mwanaume
1 Wakorintho 14:34-35: "Wanawake na wapige kimya katika makanisa; kwa maana si vizuri kwao kusema; bali nawaambia kuwa watunze nyumbani kwao, kama vile Sheria inavyosema. Lakini kama wanataka kujua jambo lolote, waulize waume zao nyumbani; kwa maana ni aibu kwa mwanamke kusema katika kanisa." Maandiko haya yanaeleza kuhusu wanawake kuwa kimya katika mikutano ya kanisa na kuuliza maswali nyumbani kwao.

HALAFU KUNA WATU WANABEBA BIBLIA TU KILA J2 , HATA KUZIFUNGUA HAWAZIFUNGUI. UNAPISHANA NAE NJIANI KAIKUMBATIA LAKINI KUMBE HATA KUIFUNGUA HAIFUNGUI. SOMENI
 
kama unashindwa kukariri biblia, umekasirika wanawake kuhifadhi Quran?
Case confirmed, akili yako inahitaji maboresho ama inawezekana umeamka na hangover, ila sidhani kama hata una akili ya kuweza kuchakata kilevi ndani ya mwili wako.
 
Wacha waite majini mahaba wanaume si hamtaki kuwaoa

Wacha watiririke aya za kuyaita
Yesu Kutibu Majini: Katika Agano Jipya, Yesu Kristo alihusishwa sana na kutibu majini na roho chafu. Mfano maarufu ni katika Marko 1:34, ambapo inasema: "Akawaponya wengi waliokuwa na magonjwa mbalimbali, akatoa mapepo wengi." Yesu aliweza kutoa mapepo kwa nguvu zake za kiungu, na hili lilikuwa sehemu muhimu ya huduma yake.

WAKATI WALIKUWEPO AKINANI?
 
Case confirmed, akili yako inahitaji maboresho ama inawezekana umeamka na hangover, ila sidhani kama hata una akili ya kuweza kuchakata kilevi ndani ya mwili wako.
Unayo mashine ya kuboresha?
 
1 Wakorintho 14:34-35: "Wanawake na wapige kimya katika makanisa; kwa maana si vizuri kwao kusema; bali nawaambia kuwa watunze nyumbani kwao, kama vile Sheria inavyosema. Lakini kama wanataka kujua jambo lolote, waulize waume zao nyumbani; kwa maana ni aibu kwa mwanamke kusema katika kanisa." Maandiko haya yanaeleza kuhusu wanawake kuwa kimya katika mikutano ya kanisa na kuuliza maswali nyumbani kwao.

HALAFU KUNA WATU WANABEBA BIBLIA TU KILA J2 , HATA KUZIFUNGUA HAWAZIFUNGUI. UNAPISHANA NAE NJIANI KAIKUMBATIA LAKINI KUMBE HATA KUIFUNGUA HAIFUNGUI. SOMENI
Fight unbelievers who are near to you. 9:123
Kwanini allah who is akbar awaagize mkampiganie?
 
1 Wakorintho 14:34-35: "Wanawake na wapige kimya katika makanisa; kwa maana si vizuri kwao kusema; bali nawaambia kuwa watunze nyumbani kwao, kama vile Sheria inavyosema. Lakini kama wanataka kujua jambo lolote, waulize waume zao nyumbani; kwa maana ni aibu kwa mwanamke kusema katika kanisa." Maandiko haya yanaeleza kuhusu wanawake kuwa kimya katika mikutano ya kanisa na kuuliza maswali nyumbani kwao.

HALAFU KUNA WATU WANABEBA BIBLIA TU KILA J2 , HATA KUZIFUNGUA HAWAZIFUNGUI. UNAPISHANA NAE NJIANI KAIKUMBATIA LAKINI KUMBE HATA KUIFUNGUA HAIFUNGUI. SOMENI
Nimesema dini zenu.

Elewa kuwa sina uhusiano na dini zenu
 
Inasikitisha sana, Ndio maana niliwahi kuandika humu kuwa mtu mweusi ni binadamu ambaye bado yupo kwenye stages za evolution, bado hajatimia kuwa binadamu kamili.
Ila hili nalo lina ukweli. Imagine katika karne hii ya 21 eti bado kuna watu wanatangaza kutibu HIV, Kisukari, Kansa, ulemavu wa viungo, nk. Kwa miujiza!! Tena kupitia vyombo vya habari.

Na watu wa aina hii huwezi kusikia wanachukuliwa hatua, au kuithibitisha hiyo miujiza yao kitaalam. Wamekuwa wakiwauzia watu maji, sabuni, udongo, leso, mafuta, nk. Na wajinga wananunua kwa kuaminishwa eti hivyo vitu vina upako!!

I wish ningekuwa Rais! Haki ya nani huu ujinga wote ningepiga marufuku.
 
Back
Top Bottom