Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 huko Kizimkazi, Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ulioongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wake Bi. Julia Evelyn Morley, Mshindi wa Miss World 2025 Bi.Opal Suchata Chuangsri kutoka Thailand, Miss World Africa Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia, Kizimkazi Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025. Pia kikao hicho kimehudhuriwa na Viongozi wa Wizara ya Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, pamoja viongozi wa Maliasili na utalii. Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili namna ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya kimataifa ya Miss World 2026.

View attachment 3412092

Hapa chini Rais akiwa anacheza

View: https://www.instagram.com/reel/DMUyqs7MO-F/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==

View attachment 3412105

downloadfile-2.jpg
 
anaona bora miss world kuliko kutupatia watanzania wengine haki ya kuabudu? hii inatusaidia nini sisi kanisa letu limefungwa?
 
Watu wa pwani hawako serious,mnamkumbuka mzee kikwete ishu ya Escrow Richmond inajadiliwa bungeni hadi waziri mkuu anajiuzulu yeye yupo ula anabembea kwenye miti, huyu kaahirisha mkutano wa chama ili aonane na miss world, watu wa pwani wanapenda sana kula bata.
 
Back
Top Bottom