saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Huwezi kumpangia we kima!Kwanini alikimbia mkuku dodoma jana na kurudi kizimkazi
Ina maana mambo ya mamis ni muhimu sana kuliko mustakabali wa chama chetu cha ccm?
Huwezi kumpangia we kima!Kwanini alikimbia mkuku dodoma jana na kurudi kizimkazi
Ina maana mambo ya mamis ni muhimu sana kuliko mustakabali wa chama chetu cha ccm?
Oktoba tunatiki we kibwengoNo reforms No election
Una uhakika mwanasheria wako anapokea simu? 😹Miss yupo salama? I mean hajambo?
Kukutoa maboya ndiyo kufaje?!Bora ss mana kila mtu alikua anafungua nyuzi kututoa maboya.No reforms no election iendelee
Kumjulia mtu hali tu 🤔Una uhakika mwanasheria wako anapokea simu? 😹
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ulioongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wake Bi. Julia Evelyn Morley, Mshindi wa Miss World 2025 Bi.Opal Suchata Chuangsri kutoka Thailand, Miss World Africa Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia, Kizimkazi Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025. Pia kikao hicho kimehudhuriwa na Viongozi wa Wizara ya Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, pamoja viongozi wa Maliasili na utalii. Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili namna ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya kimataifa ya Miss World 2026.
View attachment 3412092
Hapa chini Rais akiwa anacheza
View: https://www.instagram.com/reel/DMUyqs7MO-F/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
View attachment 3412105
Wewe una shida . Mnafanya spining kwa ajili ya nani???Chadomo na wale waliokorogwa kama togwa na kina Slowslow wao wanasemaje?
HIVI mwinyi ana KAZI GANI MANA majukum YOTE anafanya YEYE kwa Nini asimpe mwinyi heshima yake kama raisMama kawabana sana mijizi na magisadi wa Mali za umma,wanaweweseka tu maji yapo shingoni
Ya ChadomoWewe una shida . Mnafanya spining kwa ajili ya nani???
Watu wa Pwani tuwavulie kofia. Ndio kwanza kaamua acheze muziki wasioupenda😂😂😂Chadomo na wale waliokorogwa kama togwa na kina Slowslow wao wanasemaje?
Nasikia anasiginaMiss yupo salama? I mean hajambo?