Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 huko Kizimkazi, Zanzibar

Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 huko Kizimkazi, Zanzibar

Attachments

  • IMG_20250720_160841.jpg
    IMG_20250720_160841.jpg
    185.9 KB · Views: 16
Bimkubwa akate miuno ya uzazi. Mwashambwa hajaiona hii ili abubujikwe na machozi ya furaha
 
Ikulu ya Dodoma ni hadi sasa ni upotevu wa rasilimali za walipa kodi.

Sasa iidhinishwe tu kila rais awe anakaa kwao ili kupunguza gharama za posho za usafiri na kazi kwenye msafara wa rais.
Magu alivyokuwa anamaliza mpk mwezi ulikuwa hujazaliwa? Magu alijijengea mpk uwanjani wa ndege wa kimataifa Chato. Huo mtindo wa ubinafsi aliuanzisha Magu.
 
Sio Ikulu tu.

Mpango mzima wa kuhamishia mji mkuu Dodoma ulikuwa ujinga mtupu usio na tija ya kiuchumi.

Kiufupi nchi masikini yenye matatizo mengi yanayohitaji pesa nyingi kuyatatua imeenda kutatua tatizo ambalo halipo kwa pesa nyingi, huku matatizo yaliyopo yanakosa pesa za kuyatatua.
Uko sawa kabisa mkuu ni ajabu nchi masikini inapambana kuwa na ikulu mbili kubwa wakati mji huo hauna maji ya uhakika .

Juzi picha za ikulu hiyo nimeziona nyasi zimekauka utadhani ni gofu lililotelekezwa.

Hii ni miongoni mwa zile tunaita misplaced priorities.

Huyu mama jana tumeambiwa alikuwa Dodoma maana yake kuna watu walilipwa posho za usafiri na kazi.

Karuka kwenda kijijini kwao maana yake watumishi wa hapo Dodoma wanalipwa posho za usafiri na kazi huko Kizimkazi kwa siku atakazokuwepo huko halafu najua akitoka huko atafikia Magogoni kwanza halafu Dodoma ataenda ile siku ya kikao cha kamati kuu ya CCM tarehe 28.

Sasa kwakuwa watanzania wengi hawajui haya mambo na wanapuuza ndio maana wao pia hawaoni umuhimu wa kutumia rasilimali vizuri badala yake wanatapanya tu kwa safari zisizo na tija.
 
Ik
Ikulu ya Dodoma ni hadi sasa ni upotevu wa rasilimali za walipa kodi.

Sasa iidhinishwe tu kila rais awe anakaa kwao ili kupunguza gharama za posho za usafiri na kazi kwenye msafara wa rais.
Sahihi kabisa, vt vingi alivyovifanya yule mshamba wa kisukuma ni vya hovyo, dunia ya leo badala ujenge miundo mbinu ya kisasa unahangaika kujenga makao makuu katikati ya nchi? Zaidi ya kichaa. Je makao makuu ya China, Russia, Uingereza, Ufaransa, Marekani n.k yako katikati mwa nchi zao?
 
Back
Top Bottom