Mbona yy ametolea ufafanuzi mzuri tu we ndo hujamjelewa ambapo hujasema kuwa nawe umetumia Elimu gani kumuelewa!Una elimu gani mkuu?? Kwahiyo aliyekuwa analipwa 330000 mwanzoni ataendelea kulipwa hivyo kwa akili yako?
Nyongeza ya mishahara inasetiwa kwa kima cha chini ili kubalance kule juu, hivyo nyongeza ya kima cha chini maana yake unawasogeza wengine juu zaidi.
Hii ni kwa kima cha chini. Wa juu lazima asilimia zipungue.Tusubiri wajuzi zaidi waje ila nachojua 23.3% sio ya wote
Soma tangazo vizuriWote inaongezeka percent hiyo au ni wale wa kima cha chini tu?
Wakikujibu nishtueHata sekta binafsi au inahusu serikalini tu?
Ndiyo ni nyongeza kwa level zote lakini kwa viwango mbali mbali!! Anayepata milioni 10 hawezi kuongezewa asilimia 23.3. Asilimia itapungua!! Ila nadhani haiwezi kushuka chini ya asilimia 10.23.3% Kwa kima cha chini maana yake ni NYONGEZA KWA LEVEL ZOTE, KUANZIA CHINI.
Hiyo ni post ya ikulu, naamini umeielewaSibishani na watoto waliotokana na mitongozo ya BAR mimi. Nshakuambia toka mwanzo kuwa bora Babako angepiga NYETO.
Kwanini isishuke ?Ndiyo ni nyongeza kwa level zote lakini kwa viwango mbali mbali!! Anayepata milioni 10 hawezi kuongezewa asilimia 23.3. Asilimia itapungua!! Ila nadhani haiwezi kushuka chini ya asilimia 10.
ni haki yao, wewe na mimi tusio watumishi wa umma pia tutafaidika kupitia shughuli tunazofanya! Hata hivyo katika hiyo mishahara watumishi wanalipa kodi inayotumika kwenye hiyo miradi ya maendeleo! Acha roho mbaya mkuuTunakamuana ili kulipana mishahara tu.
Miradi ya maendeleo imelala huko.
Watu tunawaza kula tu.
Tena siyo EAC tu, nadhani ni zaidi ya EAC. Ghana walikua juu, nadhani walikua 17%. Lakini mkuu, hii ni kwa sababu watu wamekaa 6+ bila ongezeko. Hizo nchi zingine walikua wakiongezewa. Hii ndiyo madhara ya kukaa miaka mingi bila kuongeza mishahara. Kwa hiyo hii 23% inaweza isiwe na impact kubwa ukilinganisha na nchi zingine za EAC ambazo wameongezewa mara kwa mara. Kenya wameongezewa 12% safari hii.Watanzania walivyo WAPUMBAVU wapo ambao watapinga na kutoka kejeli hata kwa hili la kuongeza mishahara kwa 23.3% tena TZ ikiongoza kwa nyongeza kubwa zaidi ya Mishahara EAC.
Kabisa, haswa raisi akiwa wa upande fulani!!Binadamu hawana jema
Kima cha juu ni kipiHebu ngoja hapa:-
23.3/100=0.233
0.233×270000/= =62,910
KWA hiyo:-
270000+62910=332,910/=
KWA kima cha CHINI hicho!!
Nakaribisha masahihisho kama yapo!!
Mimi Raisi ajaye nimeona hivi KWA lima cha CHINI ya wewe je!!?