ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kumbuka wa kima cha juu hata akiongezwa 23.3%, makato yake ni makubwa kuliko huyu wa kima cha chini, kuanzia PAYE, PSSSF, BIMA, vyama vya wafanyakazi etc.Kima Cha juu hawana shida Sana hata wakiongezwa kwa asilimia 10 tu Hilo ni ongezeko kubwa sana!! Mfano: Anayepata mshahara wa 350,000/= atapata nyongeza ya 81,550/= akiongezewa asilimia 23.3. Lakini Anayepata mshahara wa 3,500,000/= atapata nyongeza ya 350,000/= akiongezewa asilimia 10.
Ila hili ongezeko lingekuwa na tija Kama lingefanyika kimya kimya!! Kwa sasa Kila kitu kitapanda!!