The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
The increament is between 9% and 23.3%...Miaka sita ya JPM bila nyongeza ya mishahara ilikuwa unpopular action ya mwamba, he was wrong kutoongeza wafanyakazi mishahara kwa mda mrefu kiasi hicho wakati maisha yanazidi kuwa magumu.
Kwa hili mh. Rais apongezwe sana, hata sisi ambao hatupo serikalini tutaona impact yake positively.
23.3% siamini kama yaweza kuwa flat rate hasa ukisoma maelezo ya Bi. Zuhura, ila kutakuwa na rate ya nyongeza(hapa hawajaweka wazi)
Defenetely, YES, it's not flat rate...
Pamoja na hayo, siyo haba hii...
Mathalani mtu mwenye BS ya 3,000,000 ukimwekea 9% maana yake ni almost TZS 300,000...
Hii siyo ndogo, ni kubwa...