Kumbuka wa kima cha juu hata akiongezwa 23.3%, makato yake ni makubwa kuliko huyu wa kima cha chini, kuanzia PAYE, PSSSF, BIMA, vyama vya wafanyakazi etc.Kima Cha juu hawana shida Sana hata wakiongezwa kwa asilimia 10 tu Hilo ni ongezeko kubwa sana!! Mfano: Anayepata mshahara wa 350,000/= atapata nyongeza ya 81,550/= akiongezewa asilimia 23.3. Lakini Anayepata mshahara wa 3,500,000/= atapata nyongeza ya 350,000/= akiongezewa asilimia 10.
Ila hili ongezeko lingekuwa na tija Kama lingefanyika kimya kimya!! Kwa sasa Kila kitu kitapanda!!
Mkuu ,mtumishi akiongezewa mshahara wewe utanufaika sana,akiongezewa hiyo pesa siyo kwamba anaitunza kwenye self kuwa haitumiki,akilipwa mshahara mnono atanunulia watu bia,atanunua mandazi,chakula,nguo,maji, hivyo Pesa itakuwa imeenda kwa watu ukiwemo wew ambaye utakuwa umeipata hiyo hela kwa urahisiHapo zinatumika almost trilioni 10 kwa ajili ya watu milioni moja tu katika population ya watu milioni 60.
Meaning only less than 5% ya population ndio wanaotumia pato la Taifa.
That is quite unfair.
Hizo faida unazosema wewe ni indirect ambazo zina very minor impact.
Sasa kwanini tusifanye miradi ambayo itamnufaisha kila mtu??
Ubinafsi tu umewazidi na serikali nayo kama vile imekuwa hijacked na kelele za watu wachache.
Maisha ni magumu sana huku mtaani na hili ongezeko will do nothing to solve that.
Wewe ni mpumbavu tu ,kama unajua mambo onyesha hapa calculation zako ,...!Wee zuzu, kwahiyo kima cha chini cha mtumishi wa umma ni 760000?
Nwalimu bwana!
Wewe bila shaka ndo wale maticha fulani maneno maneno tuu
Tangu Lini watumishi wote wakapandishwa mshahara 23%? Hii ni changa la macho.Rais Samia badala ya mtumishi kustaafu na kulipwa mafao yake kwa mkupuo sasa wanalipwa 33% na awali ilitakiwa kulipwa 25% . Watumishi hili mmelisoma au mmeambiwa 23.3% ya kina cha chini kilichoongezwa? Mkafurahia
Hujui kitu kaa kimya!Mmeambiwa ameongeza kiwango cha KIMA CHA CHINI mtumishi kulipwa, sio mshahara. Watanzania mbona akili zetu kisoda?? Hii haiongezi kitu kwenye mshahara wako wa sasa kama upo juu ya kiwango husika[emoji2][emoji2][emoji2]
Hapo kwa sisi wachumi ni kwamba mama ameomgeza 62,900shs kwa kila mtumishi. Kama unataka ufafanuzi zaidi niquote utaupataTusaidie wewe mwenzetu mwenye elimu, hilo ongezeko la 23% maana yake nini
Soma Ile barua vizuri majibu yote yako pale.Ukiongeza mishahara unavutia ongezeko la gharama za maisha.
Hapa tulipo tayari gharama za maisha zipo juu bado tunaongeza mishahara mambo yanazidi kuwa magumu zaidi.
Halafu unapoongeza mishahara ina maana kuna pato la ziada.
Je hilo pato la ziada lipoo?? Au tunafanya siasa tu wakati hali hairuhusu.
Wabongo wengi akili ndogo hasa hawawezi kabisa ku reason masuala..wao ni ushabiki kupitia cheap politics.Huyo hajaelewa! Hapo hawajaongeza mshahara kwa asilimia 23.3%! Serikali imekubali ongezeko la mshahara kwa 23.3% kwa kila cha chini! Maana yake kwamba kama kila cha chini kilikuwa lakini mbili(200,00) inamaa itaongeza 23.3% kwa kimya hicho cha chini na kuwa kama 238,000/,=kwa maana hiyo 38,000/= ndo ongezeko kwa nagzi hiyo ya chini si kwa ngazi nyingine! Sio kuwa mshahara umepanda kwa asilimia 23.3% kwa wafanya kazi wote hapana!
Waje kuinyambulisha kwenye tax bands iweze kuleta maana na kuhold price bubles.Tangu Lini watumishi wote wakapandishwa mshahara 23%? Hii ni changa la macho.
Wastaafu waliopo jf ni wachache peno[emoji2], hili la 33% bado halijaingia kwenye medulla za wafanyakazi. Wao kwa sasa wanaangalia 23.3% kwa kima cha chini. Japo siamini kuwa 23.3% yaweza kuwa flat rate, kuanzia mwenye mshahara mdogo hadi yule wa juu kabisa.Rais Samia badala ya mtumishi kustaafu na kulipwa mafao yake kwa mkupuo sasa wanalipwa 33% na awali ilitakiwa kulipwa 25% . Watumishi hili mmelisoma au mmeambiwa 23.3% ya kina cha chini kilichoongezwa? Mkafurahia
Mi nadhani ingekuwa vyema kama tungeongeza tija katika uzalishaji ili pesa ipande thamani na mshahara ule ule uweze kutosha, vinginevyo tunaweza kusababisha kukwama kwa miradi ya maendeleo kutokana na pesa yote kulipa watu mishaharaKuna huyu FRANCIS DA DON
Ulizo zuzu..kama unapokea kima cha chini sawa.Mama ni kiongozi muadilifu, mwenye dhamira njema anayefanya siasa za kisayansi. Ni suala la muda tu wengi wataelewa kwamba sasa tuna kiongozi wa maana.
DenojooJ, it is very simple to decipher that , why? Any attempt to succumb to political demands, puts her presidency in jeopardy, ndiyo maana anakuwa mgumu. Kuongeza mshahara kunaweza kuwa Kuna cement her position! Even if it were you, you will act instantly to win confidenceRais Samia kwenye masuala mengine anajitahidi, yupo fast to act, which is good.
Ila kwenye mambo ya siasa anakuwa mgumu sana kuelewa mpaka pawepo na vikao vya maridhiano, tena hata kwenye masuala yaliyo wazi kisheria, ajabu sana; sijui wakina nani wanamdanganya, hajiamini.
Tumia akili mkuu 'Mkuu ,mtumishi akiongezewa mshahara wewe utanufaika sana,akiongezewa hiyo pesa siyo kwamba anaitunza kwenye self kuwa haitumiki,akilipwa mshahara mnono atanunulia watu bia,atanunua mandazi,chakula,nguo,maji, hivyo Pesa itakuwa imeenda kwa watu ukiwemo wew ambaye utakuwa umeipata hiyo hela kwa urahisi
Sekta binafsi ili uongezewe mshahara inabidi uongezewe kazi, ila serikalini mtu anaongezewa mshahara bila kuongezewa kazi?Hata sekta binafsi au inahusu serikalini tu?