msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Lakini mkuu mbona kuhusu ajira, awamu hii inajitahidi sana kuajiri watu.Ni sawa kwa upande wa watumishi na wamachinga na vijana wasiokua na ajira ametatua vp tatzo
Sio kdgKwani hiyo 56000 ni kidogo?
Sio kwa kila Mtumishi bali Asilimia 23 ni kwa kina cha Chini tu kadili Mshahara unapokuwa Mkubwa na Asilimia ya nyongeza inapunguaFomula ya kukokotoa asilimia 23 ya kima cha mshahara ipo hivi:
Kima Cha chini Cha mshahara Tanzania ni 300000/=
23/100x300,000=69,000/=
Hivyo 69000-18% ya makato yote utaona umeongezewa sh.ngapi?
18/100x69,000=12,420/=
Sasa 69,000-12,420=56,580/=
Hivyo basi nyongeza ya mashahara ni 56,580/= kwa kila mtumishi.
Hivyo tegemeeni nyongeza ya 56,000/= kwenye mshahara.
Ndugu zangu msije pigia 23%ya basic eti ndio nyongeza mtakuta Julai ni tofauti kabisa.
Hiyo ni lugha ya uwasilishaji, actually ni kwa wote na si mara ya kwanza kutumia lugha hiyoNi kwa walio kima Cha chini (270k)
Ni Tanzania pekee tetesi za chini ya kapeti zinamfanya mtu alalamike kila sehemu utasema amethibitisha ukweli wa taarifaHakuna kitu hapo ni ujinga mtupu...habari ya chini ya kapeti ..serikali kuanza kuchapa pesa ili kuongeza mishahara ni upuizi wa hali ya juu sh inakwenda kuanguka vibaya hadi mwezi wa 12 bei ya mafuta itakuwa sh3600 hadi 4000 kwa lita moja
Sijapinga ajira zipo ila michongo na kujuana ,unamsaidiaje Kijana mtanzania kuondokana na msongo huu ?Lakini mkuu mbona kuhusu ajira, awamu hii inajitahidi sana kuajiri watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku waachie watumishi tu...nyie nendeni "KULE KWA MASIHARA"Kwasisi ambao sio waajiriwa tunacomment nini?
FactHakuna kitu hapo ni ujinga mtupu...habari ya chini ya kapeti ..serikali kuanza kuchapa pesa ili kuongeza mishahara ni upuizi wa hali ya juu sh inakwenda kuanguka vibaya hadi mwezi wa 12 bei ya mafuta itakuwa sh3600 hadi 4000 kwa lita moja
Ela za nyongeza ya mishahara angeajili vijana wanaotapakaa mtaaniLeo mhe Rais umetangaza rasmi nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3% kwa watumishi wa Umma Kwa hili unastahili pongezi nyingi mno kwani jambo hili lilishindikana takribani miaka sita imepita.Kuna watu wenye roho mbaya,chuki ,husuda na wasio kutakia mema wanabeza hatua hii.Naomba usiwasikilize tambua mhe Rais ukimuongezea mshahara mfanyakazi mmoja huyu anawategemezi zaidi ya tano na kuendelea ambao ni watu wazima hizo zote ni kura zako 2025 endapo utagombea.Kwa mfanoa chukua wafanyakazi kada ya elimu tu ambao ni zaidi ya laki mbili zidisha mara tano uone kura zako.#2025 kazi iendelee#