Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Leo mhe Rais umetangaza rasmi nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3% kwa watumishi wa Umma Kwa hili unastahili pongezi nyingi mno kwani jambo hili lilishindikana takribani miaka sita imepita.Kuna watu wenye roho mbaya,chuki ,husuda na wasio kutakia mema wanabeza hatua hii.Naomba usiwasikilize tambua mhe Rais ukimuongezea mshahara mfanyakazi mmoja huyu anawategemezi zaidi ya tano na kuendelea ambao ni watu wazima hizo zote ni kura zako 2025 endapo utagombea.Kwa mfanoa chukua wafanyakazi kada ya elimu tu ambao ni zaidi ya laki mbili zidisha mara tano uone kura zako.#2025 kazi iendelee#
 
Kaacha mzozo 🤣🤣🤣wale wasiojua hesabu leo wanapata tabu kucalculate Kila mtu ana jibu lake ndo maana ukitoa mtihani lazima kila mtu awe na jibu lake
 
In mamas voice" Ametukuna nasi tutampapasa"

Tutapiga kazi mpaka mama aseme pumzikeni kidogo.
20220125_161136.jpg
 
Fomula ya kukokotoa asilimia 23 ya kima cha mshahara ipo hivi:
Kima Cha chini Cha mshahara Tanzania ni 300000/=
23/100x300,000=69,000/=
Hivyo 69000-18% ya makato yote utaona umeongezewa sh.ngapi?
18/100x69,000=12,420/=
Sasa 69,000-12,420=56,580/=
Hivyo basi nyongeza ya mashahara ni 56,580/= kwa kila mtumishi.
Hivyo tegemeeni nyongeza ya 56,000/= kwenye mshahara.
Ndugu zangu msije pigia 23%ya basic eti ndio nyongeza mtakuta Julai ni tofauti kabisa.
Sio kwa kila Mtumishi bali Asilimia 23 ni kwa kina cha Chini tu kadili Mshahara unapokuwa Mkubwa na Asilimia ya nyongeza inapungua

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Huku sekta Binafsi Mbona naona kimyaa tuu , kuna maelekezo gani kuhusiana na waajiriwa sekta binafsi huku ndio kuna madudu yakutupwa watu hawapati stahiki zao...
 
Hakuna kitu hapo ni ujinga mtupu...habari ya chini ya kapeti ..serikali kuanza kuchapa pesa ili kuongeza mishahara ni upuizi wa hali ya juu sh inakwenda kuanguka vibaya hadi mwezi wa 12 bei ya mafuta itakuwa sh3600 hadi 4000 kwa lita moja
Ni Tanzania pekee tetesi za chini ya kapeti zinamfanya mtu alalamike kila sehemu utasema amethibitisha ukweli wa taarifa
 
Hakuna kitu hapo ni ujinga mtupu...habari ya chini ya kapeti ..serikali kuanza kuchapa pesa ili kuongeza mishahara ni upuizi wa hali ya juu sh inakwenda kuanguka vibaya hadi mwezi wa 12 bei ya mafuta itakuwa sh3600 hadi 4000 kwa lita moja
Fact
 
Leo mhe Rais umetangaza rasmi nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3% kwa watumishi wa Umma Kwa hili unastahili pongezi nyingi mno kwani jambo hili lilishindikana takribani miaka sita imepita.Kuna watu wenye roho mbaya,chuki ,husuda na wasio kutakia mema wanabeza hatua hii.Naomba usiwasikilize tambua mhe Rais ukimuongezea mshahara mfanyakazi mmoja huyu anawategemezi zaidi ya tano na kuendelea ambao ni watu wazima hizo zote ni kura zako 2025 endapo utagombea.Kwa mfanoa chukua wafanyakazi kada ya elimu tu ambao ni zaidi ya laki mbili zidisha mara tano uone kura zako.#2025 kazi iendelee#
Ela za nyongeza ya mishahara angeajili vijana wanaotapakaa mtaani
 
Back
Top Bottom