Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma


Bosi Achana na wanawake wale, ukishindana na wanawake uwezi kufanikiwa, Acha chuki tafuta ela Jenga Maisha yako
 
Watanzania walivyo WAPUMBAVU wapo ambao watapinga na kutoka kejeli hata kwa hili la kuongeza mishahara kwa 23.3% tena TZ ikiongoza kwa nyongeza kubwa zaidi ya Mishahara EAC.
Tatizo hakuna ufafanuzi hapo! Ongezeko la asiliamia 23.3%la kila cha chini cha msharana! Sio ongezeko la mshahara kwa asilimia 23.3%! Hapo tuelewane kwanza ndo tuweze kuongea zaidi hapo ni jambo zuri!
 
Kwa miaka 8 bila nyongeza ilitakiwa iwe asilimia 80.
 
Hiyo ni wa watu walio kima Cha chini, waliokua wakilipwa 270000, Sasa watalipwa 330000
Una elimu gani mkuu?? Kwahiyo aliyekuwa analipwa 330000 mwanzoni ataendelea kulipwa hivyo kwa akili yako?
Nyongeza ya mishahara inasetiwa kwa kima cha chini ili kubalance kule juu, hivyo nyongeza ya kima cha chini maana yake unawasogeza wengine juu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…