Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Watanzania walivyo WAPUMBAVU wapo ambao watapinga na kutoka kejeli hata kwa hili la kuongeza mishahara kwa 23.3% tena TZ ikiongoza kwa nyongeza kubwa zaidi ya Mishahara EAC.
Mambo mazuri tusifie na kwenye kudhani kuna makosa tukosoe kwa kujenga ili kuboresha. Ukichukulia hali ya kiuchumi hili ni jambo zuri litasaidia kidogo na kuwashauri serikali tu wasiongeze budget kiujumla hii pesa itoke sehemu ipunguzwe kama matumizi ya kawaida ya serikali moja ya sehemu ya kungalia sana ruzuku ya vyama vya siasa ni wakati wa kukata hii vyama vijiendeshe kwa pesa zao za ndani maana vyama vimekuwa miradi sio siasa tena. lingine bunge kuna pesa nyingi zinalipwa hivyo huko wakate hii itasaidia kugombea ubunge isiwe sehemu ya kupata riziki bali sehemu ya kupigania maendeleo na siasa.
 
Kwa Replies hizi kwenye uzi huu nime prove kwamba Watanzania wengi ni weupe kichwani....

Yaan its a matter of understanding tuu, ila sasa kila mtu anaeleza kivyake wakati statement ni moja.

Watanzania tumezidi ujuaji asee, af sasa hatujui kitu...
 
Kwa miaka 8 bila nyongeza ilitakiwa iwe asilimia 80.
80%?? jaribu halafu utaona inflation yake hutaamini utasema maisha yalikuwa rahisi zamani kuliko sasa. Ukiongeza pesa nyingi kwenye mzunguko usio uwiana na uzalishaji basi inflation kubwa itatokea.
 
Wewe ni MPUMBAVU. Tumekaa miaka 6 bila nyongeza ya mishahara hapa.
Wewe mtukane tu huyo jamaa lakini kaongea ukweli,vitu vinapanda bei Kila siku hiyo 23.3% utabaki ukipiga marchtime hapohapo husogei popote,kungesaidia kama kusingekuwa na mfumuko wa bei,kaulize bei ya sementi,bati,nondo rola Moja,ndo utajua kwamba hiyo nyongeza itakusaidia kuishi kwenye chumba Cha kupanga tu,na bei yake isizidi elfu 50 Kwa mwezi
 
Hapo kimsingi asilimia zitatofautiana. Ila wale wa kima cha chini watapata iyo 23.3%.. Wengine itaendelea kushuka kutokana na ukubwa wa mshahara wako.
 
Mambo ya siasa kama yapi ?....fafanua kidogo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hapo tunaenda kukopa ili kulipa mishahara .

I am telling you.
Hakuna serikali inakopa kwa kulipa mshahara ukifika hapo ujuwe nchi imefilisika sio kweli ni kama wewe ukikopa ili upate chakula ujuwe umefilisika. Hebu nikatizame kama kuna bank inakopesha kwa ajili ya ugali.
 
Kipindi kikwete anatoka madarakani bei ya sukari ilikua 1800, alipoingia Chuma bei ya sukari ikawa mara mbili ya kikwete angali mshahara ni uleule.Sisi watumishi tunasema Mama kaupiga mwingi,msitugombanishe nae
 
Mnaacha kujiajiri mnahangaika kuwa watumwa serilalini. Halafu mnashangilia nyongeza ya kimshahara wakati maisha nayo yanapanda. Mindless
Wote hatuwezi kujiajiri..Lazima tugawane majukum katika mzunguko wa maisha.
 
Wewe siyo mtumishi. Masuala ya Watumishi waachie wenyewe.

Stupid
 
Tusome barua vizuri "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekubali ongezeko la mshahara kwa 23.3% IKIWEMO kima cha chini.
 
Ku mark time haimaanishi mishahara isiongezwe...Maana ata isingeongezwa bado bei zingeendelea kupanda tu...Ni jambo zuri amelifanya MH RAIS SSH
 
Wewe ni likapuku la wapi,unategemea hicho kimshahara chako ujenge nyumba,ya tope au? Jiongeze na wewe,fanya na shuguli zingine ,hicho kimshahara chako Kila mwisho wa mwezi unamadeni eti 23.3% ndo ikukomboe,inawezekana hata card Yako ya benki Huwa unaicha Kwa wafanyabiashara mwisho wa mwezi unagawana Nao,ndo maana unasema sukuma gang,Acha ujinga jishugulishe,uza hata mchicha kama shugulizi zingine huwezi usibaki kusubiria mwisho wa mwezi huku ukilaumu sukuma gang mjinga wewe
 
Huyo unajua sukumagang anayoisema ndo inaumia kwa ongezeko! Hao sukuma gang hawafanyi kazi serkalini! Ndo nyie wafanyakazi kila siku madeni! Badala ya kuwaza nje ya box unashangila ongezeko ambalo hata halijaeleweka kwa madaraja yote! Siku ukikutana na elfu 20 ndo imeongezeka hata ukienda bar siku moja haitoshi ndo unajua hujui! Tujitume kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…