Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Sioni sababu ya kitaalamu ya kuonheza mishahara kwa wafanyakazi wa umma.

Serikali unatakiwa kujikita kupandisha thamani ya shilingi ya Tanzania ili pesa inayo patikana kwa wananchi kwa ujumla wao iweze kukidhi mahitaji yao ya kila siku.

Kuoambana na mufumko wa bei ya bidhaa na huduma mbalimbali.

Upo ushahidi kila mshahara unapo panda bidhaa hupanda bei .

Hivyo inawaumiza wale wasio na mshahara wa mwezi Bali ni wahangaikaji wa vibarua visivyo rasimi.
 
Hiko kichwa fanyia kazi nyingine.
Sibishani na wapumbavu mimi. Kaa na mavi yako kichwani.
Kwa akili yako ukisikia kima cha chini kimesogezwa mpaka 330,000 wale ambao walikuwa hapo awali watabakia katika kiwango hikohiko?
Mishahara huongezwa kutoka chini na juu inaadjust yenyewe kutokana na Nyongeza hizo.

Umejaza mavi kichwani na ni kheri Babako angepiga NYETO.
 
Kaka maridhiano ya kweli na katiba mpya itaitoa CCM Madarakani
 
Hiko kichwa fanyia kazi nyingine.
Huyo hajaelewa! Hapo hawajaongeza mshahara kwa asilimia 23.3%! Serikali imekubali ongezeko la mshahara kwa 23.3% kwa kila cha chini! Maana yake kwamba kama kila cha chini kilikuwa lakini mbili(200,00) inamaa itaongeza 23.3% kwa kimya hicho cha chini na kuwa kama 238,000/,=kwa maana hiyo 38,000/= ndo ongezeko kwa nagzi hiyo ya chini si kwa ngazi nyingine! Sio kuwa mshahara umepanda kwa asilimia 23.3% kwa wafanya kazi wote hapana!
 
Mkuu kabla hujahukumu ungekaa kimya kwanza uone implications za niongeza ya kima cha chini. Sio mara ya kwanza kuongeza mshahara kwa kima cha chini.
Kama wangekuwa wanamaana hiyo unayoifahamu wewe tangazo lingekuwa kama lile la Zanzibar.
 
... hayuko tayari kuiweka rehani nafasi yake kama ambavyo ingekuwa kwa wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…