Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Mkuu kabla hujahukumu ungekaa kimya kwanza uone implications za niongeza ya kima cha chini. Sio mara ya kwanza kuongeza mshahara kwa kima cha chini.
Kama wangekuwa wanamaana hiyo unayoifahamu wewe tangazo lingekuwa kama lile la Zanzibar.
Naelewa nachosema, nchi zote Duniani hutumia hiyo standard katika kuset mishahara. Unapongeza mshahara huwezi sema kila kada itakuwa hivi na hivi, Unataja kwa ujumla sasa kima cha chini kitapanda kwa % kadhaa, hapo una maanisha wengine wataongezeka kutokana na asilimia hizo hapo.

SERIKALI INAPANDISHWA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE WOTE KWA UJUMLA NA RATE SAWA. MTATOFAUTINA POSHO KULINGANA NA TAASISI.
 
Huo ushahidi uko wapi? Kwanini usiweke hapa tuuone?
 
Mama ni Mama, yaani hapa ndio utajua, JPM alituua sana watanzania, yaani Mama katika mwaka mmoja kapandisha 23.3% yaani Watumishi wa umma wataandamana kumpongeza Mh. Rais Samia.

Mama Samia, watumishi wa Umma watakuombea kwa Mola na miaka yako iwe utakavyo duniani. Hii ni kazi kubwa sana Mama yetu kaifanya. Hakika Serikali ya CCM chini ya Mama yetu Samia imetenda makubwa hapa. Mungu ambariki Mama Samia sana.
 
Kwenye andiko imeanikwa ikiwemo kima cha chini, na sio kwa kima cha chini,

Watu wanabisha tu aisee
 
asante ila unasogeza wengine kwa rate ipi au ni 23% hiyo hiyo watu hapana elewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…