Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Hii iko poa sana, mama anaupiga mwingi. Safi sana
 
Hata mimi naunga mkono ila ongezeko pia liendane na kushusha inflation maana mwisho wa siku unaweza kuongezeka elfu 80,000/= kwenye mshahara wako ambayo haitaleta impact yeyote kama maisha yataendelea kupanda!
 
Mm ni mtumishi mzee, kwa taarifa yako hata walipopunguza kodi kuwa 8% effect unaiona kwenye mshahara wako. Kama mtumishi hukuona kuna nyongeza ya elfu kadhaa ya pesa imeongezeka kwako??
Mimi sijui kuhusu watumishi, ndio maana nimekuambia hiyo niongeza ya 23 sio flat rate.
Ukisoma barua inajieleza vizuri sana kuwa ameridhia niongeza ya mshahara (hiyo niongeza haijawekewa rate) ikiwemo kima cha chini kwa asilimia 23. Maana yake kima cha chini kimeongezeka kwa asilimia 23. Kwenye niongeza ya mshahara kwa ujumla haijawekwa rate.
 
Duh Mkuu ulikuwa unaeleza vizuri sana na wenye uelewa wameshakuelewa, hukupaswa kumjibu hivyo huyo, wengine ni kuwaignore na siku zinasonga
 
Duh Mkuu ulikuwa unaeleza vizuri sana na wenye uelewa wameshakuelewa, hukupaswa kumjibu hivyo huyo, wengine ni kuwaignore na siku zinasonga
 
Mnaacha kujiajiri mnahangaika kuwa watumwa serilalini. Halafu mnashangilia nyongeza ya kimshahara wakati maisha nayo yanapanda. Mindless
 
Tatizo hakuna ufafanuzi hapo! Ongezeko la asiliamia 23.3%la kila cha chini cha msharana! Sio ongezeko la mshahara kwa asilimia 23.3%! Hapo tuelewane kwanza ndo tuweze kuongea zaidi hapo ni jambo zuri!
Ni kweli, ufafanuzi unahitajika.
Maana ya hiyo kima cha chini!
 
Hata sijaelewa hiyo 23% ya kima cha chini maana yake nini!
Kima Cha chini Cha Msharahara wa Mtumishi wa Umma, Yani yule Mtu anayelipwa mshaharabwa chini Kbsa Mfano Wafanyakazi wa ndani wa Viongozi walioajiriwa na Serikali nao Msharahara wao utaongezeka Kwa Asilimia 23
 

Hii 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma? Ina maana gani hasa? Msishangilie kwa hili​

Hìi itakuwa ni kima cha chini, yaani kwa walio ajiriwa hivi karibuni.
 
Aliyekuwa anapokea 300,000 sasa itakuwa 369,000. Sio mbaya sana.
Hiyo hesabu umeitolea wapi mkuu? 23%! Ulisoma historical eee? Mshahara unavyopanda hata makato mengine yanapanda so hapo ongezeko halosi mfuoni no kama 40,000/= ila sio haha pongezi kwa Serikali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…