Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akubali ongezeko la 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma.

View attachment 2224213View attachment 2224214
Kwa wanaojua hesabu, ili mtu apate chake calculation zake zinakuwa vipi....?

Je, kila mtu anaongezewa 23.3% ya kiwango chake cha sasa cha mshahara [basic salary] anaupata sasa, kwa mfano;

MTUMISHI: Joseph Mang'ula

KADA YA UTUMISHI: Afya

NGAZI YA MSHAHARA: TGSS D.

KIWANGO: TZS 760,000

## Hii 23.3% itaingia kama ilivyo? Kwa maana ya;

760,000 × 23.3/100 = 177, 080

##KWA HIYO; Kwa ukokotozi huo, maana yake nyongeza ya 23.3% kwa mtumishi huyu itakuwa TZS 177, 080

##Na ukijumulisha na basic salary yake ya zamani, mtumishi huyu basic salary yake kuanzia July, 2022 itakuwa;

TZS 177,080 + 760,000
= TZS 937,000 [BS]

## Kama inakokotolewa hivi, basi naweza kusema SIYO HABA. Serikali imefanya vizuri...

I stand to be corrected
 
Bado makato mfano PSSSf, Income tax etc
Mkuu Mimi siajataka kusema take home ,nazingumzia mshahara kwa walimu wote itakavokuwa ....

Maswala ya pssf ,tax ,loan board ,mikopo kutoka bank ni juu ya mhusika mwenyewe ...
 
Kama mshahara wa mwalimu ni degree ni 756,000/= kwa mwezi ...

Kama mama kaongeze asilimia 23.3% maana yake kwa mwezi mwalimu huyo atakuwa anapata ngapi ...?

23.3/100 ×756,000=176,148


Kwa hivyo basi baada ya kuongeza mshahara maana yake mwalimu wa degree anaenda kupata ...

756,000+176,148= 932,148 kwa mwezi ....


Au Mimi nawaza tofauti wadau ?????
Unajua maana ya neno asilimia fulani ya kitu fulani? Yani humu kuna mazuzu mwanzo to point. Chukua kima cha chini cha mtumishi then tafutia 23.3 percent yake
 
Watanzania walivyo WAPUMBAVU wapo ambao watapinga na kutoka kejeli hata kwa hili la kuongeza mishahara kwa 23.3% tena TZ ikiongoza kwa nyongeza kubwa zaidi ya Mishahara EAC.
SASA unataka washangilie haki yao huyu kaongeza vyote bei ya vitu na mishahara hamna kipya
 
Hapo zinatumika almost trilioni 10 kwa ajili ya watu milioni moja tu katika population ya watu milioni 60.

Meaning only less than 5% ya population ndio wanaotumia pato la Taifa.

That is quite unfair.

Hizo faida unazosema wewe ni indirect ambazo zina very minor impact.

Sasa kwanini tusifanye miradi ambayo itamnufaisha kila mtu??

Ubinafsi tu umewazidi na serikali nayo kama vile imekuwa hijacked na kelele za watu wachache.

Maisha ni magumu sana huku mtaani na hili ongezeko will do nothing to solve that.
Si kweli. Jifunze uchumi. Kuna raia wengi hupata ajira kupitia watumishi wenye maslahi bora wanapofanya matumizi. Achilia mbali biashara rasmi wanazowekeza nje ya ajira zao rasmi.

Uchumi wa kuifanya serikali kuwa ndo kila kitu haufai. Ongeza uwezo wa matumizi wa raia wako ili kutengeneza soko la wawekezaji. Nchi haijengwi na serikali, inajengwa na raia wake.

Hii concept TZ kuwa maendeleo yanaletwa na serikali inatuumiza sana. Inatengeneza watu tegemezi wanaosubiri mpaka vyoo vijemgwe na serikali.
 
Wewe ndio huelewi mzee, soma kwa makini na uelewe.

Nyongeza ya mshahara haichagui kundi la watu, hutoka kwa wote, utakachoona wewe ni utofauti katika TAKE HOME yako tu. Na hapo utaona utofauti sana kutokana na kodi kuwa na utofauti kulingana na mshahara mmoja na mwingine.

Kuna makundi manne ya viwango vya kodi vya P.A.Y.E kwahiyo wewe utaona umeongezeka kidogo kutokana na makato ya kodi.
WASITEGEMEE MAKUBWA SANA[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Unaweza jikuta umeongezewa BUKU, USISHANGAE

Hiyo ndio maana halisi ya ongezeko la AGGRAVATES BUBGET lilivyo
Ila ni vizuri pia mkawa OPTIMISTS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

HUMBLE yourself

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wanaojua hesabu, ili mtu apate chake calculation zake zinakuwa vipi....?

Je, kila mtu anaongezewa 23.3% ya kiwango chake cha sasa cha mshahara [basic salary] anaupata sasa, kwa mfano;

MTUMISHI: Joseph Mang'ula

KADA YA UTUMISHI: Afya

NGAZI YA MSHAHARA: TGSS D.

KIWANGO: TZS 760,000

## Hii 23.3% itaingia kama ilivyo? Kwa maana ya;

760,000 × 23.3/100 = 177, 080

##KWA HIYO; Kwa ukokotozi huo, maana yake nyongeza ya 23.3% kwa mtumishi huyu itakuwa TZS 177, 080

##Na ukijumulisha na basic salary yake ya zamani, mtumishi huyu basic salary yake kuanzia July, 2022 itakuwa;

TZS 177,080 + 760,000
= TZS 937,000 [BS]

## Kama inakokotolewa hivi, basi naweza kusema SIYO HABA. Serikali imefanya vizuri...

I stand to be corrected
Mimk mwenyewe nawaza hivi ,na lazima itakuwa hivi ......

Sijajua kwanini watu wengine wanawaza tofauti
 
Jambo zuri, wafanye juhudi kupunguza mfumuko wa bei na gharama za maisha, ili ongezeko hilo liwe na tija

Utajibiwa kwa kuambiwa mfumuko wa bei uko dunia nzima. Majibu rahisi kwa masuala nyeti na magumu.
 
Povu la nini dada? Kwamba walioajiriwa wana dhambi sana au?
Kujiajiri ni juhudi za mtu binafsi, kama ww umejajir usi kashifu ambao hawaja jiajiri?
Kama ww ni muajiriwa usikashifu waliojiajir.

Wote wanatafuta riziki tofauti ni njia tu.
Na madaktari wote wakijiajiri sijui akienda pale Muhimbili atamkuta nani...waajiriwa huwa wapo tu hata yeye akijiajir atahitaji kuajiri pia
 
Ni kwa walio kima Cha chini (270k)
Ni rahisi kueleweka kwa ku mention kuongeza kiwango cha chini. Kwa sababu huko juu wanapokea viwango tofauti vya mishahara na ongezeko lao pia ni tofauti.

Hauwezi kuwaongezea wafanyakazi wote asilimia zinazolingana. Mafano awa wafanyakazi wawili kama wataongezewa asilimia sawa:

Tshs 270,000(23.3%) = 62,910
Tshs 3,000,000(23.3%) = 699,000

Kwa hiyo mtu anayepokea 3,000,000 ameongezewa mara 10 zaidi ya mtu anayepokea kiwango cha chini. Wakati wa kiwango cha chini ndiye ana struggle to meet ends meet!!
 
Unajua maana ya neno asilimia fulani ya kitu fulani? Yani humu kuna mazuzu mwanzo to point. Chukua kima cha chini cha mtumishi then tafutia 23.3 percent yake
Mkuu naomba unitajie kiasi cha chini mtumishi wa umma ....

Mimi hizo ni calculation zangu Mimi ni vema ukaja na calculation zako zilizo sahihi kama kweli wewe unajua mambo ..!!


Tofauti na hapo wewe ni mpumbavu ,na mjinga ambaye hujielewi mbwa wewe [emoji28]
 
Sioni kama una akili ya kusomwa kwa ugoro ulioandika pale, elewa tu sio kila mada ni ya kujadili Wewe.
Kuna jambo unakuta liko wazi kabisa kwa wenye taaluma husika Halafu Wewe unajifanya unajua kinyume chake, unaonekana punguani
Wewe matako huna maana issue ya hesabu unaotaka aje hapa mchumi uchwara akufundishe! Hao wenye taaluma ya uchumi wametusaidia nini? 23% ya ongezeko kwa watu wa kima cha chini tunasubiri mchumi aje atoe ufafanuzi? You are fucked!
 
Hiv kuna mtumish wa serikali analipwa 30,0000???
 
Mnaacha kujiajiri mnahangaika kuwa watumwa serilalini. Halafu mnashangilia nyongeza ya kimshahara wakati maisha nayo yanapanda. Mindless
Acha kujitoa fyuzi nani angekugongea muhuri siku Ile kama sio mtumishi wa serikali , wote tukijiajiri nchi itaendaje , komboka
 
Si kweli. Jifunze uchumi. Kuna raia wengi hupata ajira kupitia watumishi wenye maslahi bora wanapofanya matumizi. Achilia mbali biashara rasmi wanazowekeza nje ya ajira zao rasmi.
Ukiongeza mishahara unavutia ongezeko la gharama za maisha.

Hapa tulipo tayari gharama za maisha zipo juu bado tunaongeza mishahara mambo yanazidi kuwa magumu zaidi.

Halafu unapoongeza mishahara ina maana kuna pato la ziada.

Je hilo pato la ziada lipoo?? Au tunafanya siasa tu wakati hali hairuhusu.
 
Mimk mwenyewe nawaza hivi ,na lazima itakuwa hivi ......

Sijajua kwanini watu wengine wanawaza tofauti
Kinachofanya wengine tuwaze tofauti ni ilo neno kima Cha chini.Ndo inatupeleka kuona kwamba hiyo 23% ni kwa wale wa kima Cha chini tu ambao nadhan mshahara wao ni 300k,wengine bado atujajua hatima yetu,na kama hiyo 23% kwa wote hapakuwa na haja ya kuandika ilo neno kima Cha chini

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Kuongeza mishahara aitatusaidia hali kuna bidhaa ambazo ni muhimu kila kukicha zinapanda bei na sio watanzania wote ni wafanyakazi . Mimi nafikiri jambo la msingi ni kuwapa unafuu wananchi katika bidhaa muhimu wanazotumia kila siku. Wanaokula keki ya taifa ndio wanaozidi kufaidi hali mtu asie na kazi anaumizwa ktk bidhaaa
Hivi hao wafanyakazi unaowasema hawanunui bidhaa zinazozalishwa na hao wasiokuwa wakulima?
Unadhani kibarua huko mtaani huwa anapewa kazi na serikali au ndio wafanyakazi wanaorudisha mzunguko wa pesa mitaani hatimae kwa wafanyabiashara.
Kuna bidhaa zilipanda miaka ya nyuma bila nyongeza ya mishahara, sababu ilikuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom