ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Mimi nalipwa mil 4.125 Ila mpaka Sasa sijajua naongezewa kiasi gani, nimemuuliza afisa muajiri ananiambia yeye hajui anasubiri muongozo kutoka utumishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, kikubwa ilitakiwa iwe kiasi gani Mr. UpuuziHii 23.3% bado ndogo acha kusifia upuuzi.
Wewe ndio mjinga namba moja endelea kukumbatia chuki zakoNi wajinga tu ndio watakao furahia hiyo 23% lkn werevu tunaamini ilipaswa iwe 48%.
Ndo tungemuona ni jembe.
Upo Sawa Makati mengine yanakuja by default except PAYEFomula ya kukokotoa asilimia 23 ya kima cha mshahara ipo hivi:
Kima Cha chini Cha mshahara Tanzania ni 300000/=
23/100x300,000=69,000/=
Hivyo 69000-18% ya makato yote utaona umeongezewa sh.ngapi?
18/100x69,000=12,420/=
Sasa 69,000-12,420=56,580/=
Hivyo basi nyongeza ya mashahara ni 56,580/= kwa kila mtumishi.
Hivyo tegemeeni nyongeza ya 56,000/= kwenye mshahara.
Ndugu zangu msije pigia 23%ya basic eti ndio nyongeza mtakuta Julai ni tofauti kabisa.
Ameeleza vizuri, hiyo fedha ni mfano ukitaka kupata chukua mshahara wako kama laki 4,5,6 yoyote tumia hiyo formulaMkubwaa...
Hatujui hesabu ila jua kuwa hicho kima ni kwa mtu anae lipwa laki tatu pekee...
Na je...??? Anae lipwa laki nane na nusu...???
Nae anaongezewa 56k...??
Au ndo unavyo fikiri...?
Kikubwa serikali inaweza ku-set ni minimum... lakini haiwezi kuiambia sekta binafsi wapandishe kwa sababu serikali imepandisha. Ila kitakachoweza kutokea ni waajiriwa kutaka nyongeza kwa sababu wana option ya serikali yenye maslahi mazuri zaidi.Mara zote sekta binafsi pia wanasetiwa viwango, hawajipangii mishahara hovyo.
Acha roho mbaya mkuuTunakamuana ili kulipana mishahara tu.
Miradi ya maendeleo imelala huko.
Watu tunawaza kula tu.
Kuna baadhi ya Makato ni by default mfano Ada ya Chama chako ya wafanyakazi na hifadhi ya jamiiKuna watu mnataka kutugombanisha na mama.Mimi nishajipigia hesabu zangu July nasubiri ongezeko la 23.3%ambavyo ni sawa na laki 223000.Maana mpaka sasa Zuhura Yunus hajatoa mchanganuo
Aina moja ya juu na chini? Mbona mahesabu hayaendani?Nimeikuta sehem View attachment 2224568View attachment 2224569
Samahani mkuu, unafanya kazi TCRA? Maana niliona wajuvi humu wakisema huo ndo mshahara wa afisa wa kawaida huko TCRA.Mimi nalipwa mil 4.125 Ila mpaka Sasa sijajua naongezewa kiasi gani, nimemuuliza afisa muajiri ananiambia yeye hajui anasubiri muongozo kutoka utumishi
Tangu lini mburundi akawa na roho nzuri?Acha roho mbaya mkuu
Roho ya korosho!Hakuna kitu hapo ni ujinga mtupu...habari ya chini ya kapeti ..serikali kuanza kuchapa pesa ili kuongeza mishahara ni upuizi wa hali ya juu sh inakwenda kuanguka vibaya hadi mwezi wa 12 bei ya mafuta itakuwa sh3600 hadi 4000 kwa lita moja
Ni sawa kwa upande wa watumishi na wamachinga na vijana wasiokua na ajira ametatua vp tatzoMhe. Rais Samia Suluhu Hassan akubali ongezeko la 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma.
View attachment 2224213View attachment 2224214