Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Acha unafiki wewe toka lini MWENDAZAKE MASALIA, akampenda Mama Samia?kuna mtu aliyewagawa WaTz, kama mwendazake(shame on u), kilio walichotoa leo hao TEC, ndio kilio cha madhehebu yote, tena inawezekana kwa wengine huko ndio msiba kabisa!!ila jamaa hakuwa na roho za ubinadamu kabisa, eti niombeeni , daaa!!hao unaowaomba wakuombee kumbe vituko unavyowafanyia, KIBWENGO asubiri!!!MUNGU FUNDI
 
Wewe umemkaribisha nyumbani kwako akaukataa mwaliko wako?

Mada zako nyingi ni za ajabu ajabu, kama hiyo nyingine hapo juu. Inawezekana akili yako ni sawa na ya huyo Mwenda zake, maana unaonyesha dalili za ajabu ajabu tokea uingie humu jukwaani.

Sasa usinilaumu, mimi nasema ninavyokusoma wewe na hizi mada zako nyingi zisizo na mwelekeo.
 
Uchaguzi wa TEC wa mara ya mwisho ulikuwa influenced na watu wa TISS. Waliweza kumpenyeza na kisha kumchagu-lisha Askofu Gervas Nyaisonga wa Jimbo la Mbeya kuwa Mwenyekiti wa TEC kwa miaka 5 kuanzia 2018. Eti ilionekana kuwa kanisa liko mbali na Serikali wakati wa Mwenyekiti Tarcissius Ngalelikumtwa wa Iringa hivyo basi wamchague Gervas Nyaisonga kwa vile ana urafiki binafsi na Jiwe.

Hapo ndipo kanisa Katoliki Tanzania liliakia poyoyo katika mstakabali wa kutetea waumini wao.

KKKT waliruka mtego wa TISS uliotaka kumtoa Dr Shoo
No wonder B.Mkapa alisema watanzania wengi ni wapumbavu na malofa, you made me believe this statement! Hii kahawa umeinywa wapi bwashee! Au unataka kutuaminisha kuwa unajua interijensia! Unapotoa allegation kubwa kama hili toa na chanzo cha habari yako. Yaani unaongea utadhani wewe ni Nyaisonga mwenyewe.
 
Kwa bahati mbaya sana Uongozi wa juu kabisa wa nchi hii umehodhiwa na dhehebu(catholic) na dini hiyo, (Muslim) for over sixty years now wao ndio wamekuwa wakishika all the prominent positions in this country. Unaweza usiamini ila ndio ukweli. Hivyo wakikutana wanaelewana maana hao ndio watawala halisi nchi hii.
 
MATAGA hoyeeeeeeeeee
 
Wewe umemkaribisha nyumbani kwako akaukataa mwaliko wako?

Mada zako nyingi ni za ajabu ajabu, kama hiyo nyingine hapo juu. Inawezekana akili yako ni sawa na ya huyo Mwenda zake, maana unaonyesha dalili za ajabu ajabu tokea uingie humu jukwaani.

Sasa usinilaumu, mimi nasema ninavyokusoma wewe na hizi mada zako nyingi zisizo na mwelekeo.
Huyo mleta mada ni Musiba
 
ni kweli mkuu, maana hata bei zao haziakisi utofuati na wanaolipa kodi.

yaani shule za kanisa nazo bei sio mchezo
kuna Ile while inapotea St Joseph kule Goba imejengwa na wakristu KWA kuchangia lakini ulizia karo yake wee utakimbia.Shule imekuwa kea ajili ya watoto wa vigogo tu hadi aibu.Kanisa limegeuza huduma za elimu na afya biashara
 
Mhimili

Pia agenda inausu Nani na Nani ?
Elewa, sio kila uitwapo na wife unakusanya na watoto. Hehehehe
 
Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
Vyuo vikuu vingi vya kikatoliki vilipigwa ban hali ilikuwa mbaya nadhan lengo ilikuwa tuwe na chuo kikuu kimoja
 
Ndugu yangu watu wengi wanaojiita "Wakristo" hawajui kuwa Ufunuo aya ya 17 na 18, anayezungumziwa ni kanisa katoliki. Siri hii nawapa leo, yule KAHABA ni kanisa katoliki na mji ule mkubwa wenye uflame juu ya wafalme wa nchi ni jiji la Roma.

Mwenye masikio na asikie.
Makao makuu ya Kanisa Katoliki ni Vatican. Mji mkuu wa Italy ni Rome. Roma ni nini?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom