Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja ,, lilipe kodi kwani huduma linazotoa halitoi bure, wananchi wanalipia tena hela nyingi tu. Labda waombe kupunguziwa lakini siyo kuondolewa.Kanisa liache kutaka mteremko
Limeanzisha huduma za Elimu na Afya kibiashara
Basi lilipe kodi lisitake mteremko wa kusamehewa kodi wakati linatengeneza fedha
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
Basi tutarajie kanisa kupata faida katika awamu hii teh teh
Kanisa liache kutaka mteremko
Limeanzisha huduma za Elimu na Afya kibiashara
Basi lilipe kodi lisitake mteremko wa kusamehewa kodi wakati linatengeneza fedha
Mama aache kutafuta huruma za kisiasa kwa hao wakatoliki,wanafanya biashara walipe kodiYaani hao wakatoliki wamekalia biashara tu hadi wanalalamika kupata hasara. Hiyo TEC mbona ni mkusanyiko wa ma ceo waliyo kwenye kanzu za kiaskofu. Katoloki ni makampuni tu ya kibepari yenye makao makuu vatican. Jpm alijua kudhibiti ubwanyenye wa kila aina kwa manufaa ya maendeleo ya umma. Kwenye elimu kuna shirika au mashirika ya kikatoliki wametokea india wamekuja na uwekezaji wa ovyoovyo hauna viwango kwenye elimu ya vyuo vikuu. Awamu ya jpm iliwadhibiti kisawasawa mama asije fanya makosa.
No research no right to speak!!shule za kanisa Katoliki kwa elimu zinatoa na kiwango cha pesa wanachotoza ni sawa na bure tu!! Mfano shule nyingi zinatoza kati ya laki tano mpaka millioni moja na nusu,kiwango cha kawaida tu.ni kweli mkuu, maana hata bei zao haziakisi utofuati na wanaolipa kodi.
yaani shule za kanisa nazo bei sio mchezo
swali ni moja, kuondolewa kodi katika hizo huduma italeta unafuu wa bei wanazotoza? au italingana ama kuzidi bei za hospt / shule za private zinazotozwa kodi?Unataka hospital iendeshwe Kama madrasa ?
Shule iendeshwe Kama mikutano ya hadhara?
Kuna costs za uendeshaji.
usitake nifunguke hicho unacho kiita researchNo research no right to speak!!shule za kanisa Katoliki kwa elimu zinatoa na kiwango cha pesa wanachotoza ni sawa na bure tu!! Mfano shule nyingi zinatoza kati ya laki tano mpaka millioni moja na nusu,kiwango cha kawaida tu.
Ninachoona watanzania wengi wamezoea vitu za bure hawajui kama kuna gharama za uendeshaji,kama uwezi kulipa pesa hio,mpeleke mwanao shule ya bure ya kata..tuache ujinga watanzania elimu ni ghali sana,ukiona uwezi acha usisome kabisa.
Baada ya uchafuzi wa october 2020 hata miezi sita hajafikisha.Halafu alikuwa anawaambia mniombee no wonder walimwombea kweli hajamaliza 10yrs.Usicheze na taasisi za dini
swali ni moja, kuondolewa kodi katika hizo huduma italeta unafuu wa bei wanazotoza? au italingana ama kuzidi bei za hospt / shule za private zinazotozwa kodi?
ukute ye ndie alikua kigogoWamuache kiumbe wa mwenyezi Mungu apumzike kwa amani, alivyokuwa hai mbona wote waliufyata....kile chuma hapa ndio nakikubali, undava undava...sasa hivi wapumbavu wananyanyua midomo na wengine kufikia kiasi cha kutaka kuanza kumsumbua mama.... RIP Magu....(mwenyezi Mungu msamehe huyu mzee kila ovu lake na umpe pumziko la amani milele)...
Nilipingana na kile chuma kwenye mitazamo fulani fulani, ila kuna mafala aliwanyoosha....eti leo nao wanavimba vifua kwa mama...jamaa alikuwa akiongea watu wote kimya kasoro kigogo tu...yaani kama mwamba basi ni kigogo peke yake...wengine wote mafala tu..bora mkae kimya tu, maana kama kudai haki mngeidai kipindi kile tuone kweli mnadai haki...
Huu mwandiko ni kama flani hivi.... Utasema ni moja ya ids zake!Mh Rais SSH alipobuni salamu yake minong'ono ikawa ni kuepuka kumsifu Yesu Kristo ktk salamu husika! Leo mama huyu kwa sauti laini iliyolegea amemsifu Yesu Kristo mpaka nikahisi mama ameshaungama na kuachana na uisilamu😜!
Yaani anapendezea anapoisema salamu hiyo! Kuna kauvuvio flani hivi! Hongera mama, ni mwanzo mzuri, umevuka kiunzi kingine kuelekea kuwa mlay😜, tena wa nguvu💪!
Nakupenda rais wangu kaza buti, usicheke na wapigaji...hapo nitakupenda daima...umeelewa lakini mama, ninaupendo wenye mashariti! Yaani timiza majukumu yako kama rais, nami nitakupenda kama rais wangu!
One love😜❤️!