Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
Yaani hao wakatoliki wamekalia biashara tu hadi wanalalamika kupata hasara. Hiyo TEC mbona ni mkusanyiko wa ma ceo waliyo kwenye kanzu za kiaskofu. Katoloki ni makampuni tu ya kibepari yenye makao makuu vatican. Jpm alijua kudhibiti ubwanyenye wa kila aina kwa manufaa ya maendeleo ya umma. Kwenye elimu kuna shirika au mashirika ya kikatoliki wametokea india wamekuja na uwekezaji wa ovyoovyo hauna viwango kwenye elimu ya vyuo vikuu. Awamu ya jpm iliwadhibiti kisawasawa mama asije fanya makosa.
Kanisa liache kutaka mteremko
Limeanzisha huduma za Elimu na Afya kibiashara
Basi lilipe kodi lisitake mteremko wa kusamehewa kodi wakati linatengeneza fedha
 
Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
misamaha ya kodi?...... hasara gani ? Nyaaisonga awe muwazi..... yani kanisa lifanye biashara halafu lisilipe kodi.... hii hata Mama samia awezi kukubali...... kama watu/taasisi wameamua kufanya biashara ni lazima waulizwe kodi.
Elimu inayotolewa si bure
Afya si bure....
 
Kanisa liache kutaka mteremko
Limeanzisha huduma za Elimu na Afya kibiashara
Basi lilipe kodi lisitake mteremko wa kusamehewa kodi wakati linatengeneza fedha
"Linatengeneza fedha"; kiasi gani unajuwa?

Ungependa lianzishe huduma hizo kwa upi ambao si wa kibiashara?
 
Yule kwa Imani ya kikristo alipaswa KUTENGWA.
Walimheshimu usoni rohoni hawakuwa pamoja naye,Sifa ya viongozi wa dini waliosoma phylosoph huwa hawabishani kwa mtu asiyeshaulika.
Wangelazimisha angeua wengi kwa siri kupitia mamlaka.

Fikiri leo SAMIA kapewa risala nzito,then kikao cha ndani(siri) na maaskofu.
"YULE ALIKUWA MUUMINI KAIDI"kwa mwavuli wa Amani
Yani Samia kapewa makavu live na kanisa kwamba mwendazake alizingua dah noma sana
 
Sisi tuliopewa kuzifahamu "siri" za Ufalme wa MUNGU, tunalitizama tu hili "kanisa" la "kinafiki" na kulionea huruma maana tunajua nini utakuwa mwisho wake.
Soma Ufunuo 17:1-2
Huo Ufunuo unaousoma umefanyiwa tafiti na kuandikwa na kanisa katoliki kwa uongozi wa Roho Mtakatifu huenda hata shule uliyosoma ni ya Katoliki hilo dhehebu lako mwenyewe limefundishwa na Katoliki, Unatolea wapi ujasiri wa kuhisi una ufahamu zaidi na mjuaji zaidi ya kanisa Mwalimu?
 
Back
Top Bottom