n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Uzandiki mtupuHakuwa Mkristo bali aliingia kanisani kupiga picha.
Mkristo halisi ni lazima aiishi sala ya Bwana.Yaani Baba yetu uliye mbinguni.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzandiki mtupuHakuwa Mkristo bali aliingia kanisani kupiga picha.
Mkristo halisi ni lazima aiishi sala ya Bwana.Yaani Baba yetu uliye mbinguni.......
Nahisi hii ndo main reasonHata sadaka ,zaka na mavuno mbona nazo zimepungua tangu alipokaza vyuma
Ajitafakari.ukijitambua unaomba urudiUnafiki wa viongozi wa dini hasa Ukristo ndo chanzo cha uwepo wa udikteta.Unapomtenga mtu muovu unamsaidia kuacha uovu
Mkuu,kwa sisi tuliofanya kazi kwenye taasisi za dini, tunajua jinsi unafiki ulivyo chanda na pete na hawa "watu wa Mungu".Kilaini mnafiki sana,yan sana tena sanaaaa...
Huyo hakuwa sawa kichwani.Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
Yaani hao wakatoliki wamekalia biashara tu hadi wanalalamika kupata hasara. Hiyo TEC mbona ni mkusanyiko wa ma ceo waliyo kwenye kanzu za kiaskofu. Katoloki ni makampuni tu ya kibepari yenye makao makuu vatican. Jpm alijua kudhibiti ubwanyenye wa kila aina kwa manufaa ya maendeleo ya umma. Kwenye elimu kuna shirika au mashirika ya kikatoliki wametokea india wamekuja na uwekezaji wa ovyoovyo hauna viwango kwenye elimu ya vyuo vikuu. Awamu ya jpm iliwadhibiti kisawasawa mama asije fanya makosa.Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
Kanisa liache kutaka mteremko
Limeanzisha huduma za Elimu na Afya kibiashara
Basi lilipe kodi lisitake mteremko wa kusamehewa kodi wakati linatengeneza fedha
misamaha ya kodi?...... hasara gani ? Nyaaisonga awe muwazi..... yani kanisa lifanye biashara halafu lisilipe kodi.... hii hata Mama samia awezi kukubali...... kama watu/taasisi wameamua kufanya biashara ni lazima waulizwe kodi.Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
"Linatengeneza fedha"; kiasi gani unajuwa?Kanisa liache kutaka mteremko
Limeanzisha huduma za Elimu na Afya kibiashara
Basi lilipe kodi lisitake mteremko wa kusamehewa kodi wakati linatengeneza fedha
Yani Samia kapewa makavu live na kanisa kwamba mwendazake alizingua dah noma sanaYule kwa Imani ya kikristo alipaswa KUTENGWA.
Walimheshimu usoni rohoni hawakuwa pamoja naye,Sifa ya viongozi wa dini waliosoma phylosoph huwa hawabishani kwa mtu asiyeshaulika.
Wangelazimisha angeua wengi kwa siri kupitia mamlaka.
Fikiri leo SAMIA kapewa risala nzito,then kikao cha ndani(siri) na maaskofu.
"YULE ALIKUWA MUUMINI KAIDI"kwa mwavuli wa Amani
Huo Ufunuo unaousoma umefanyiwa tafiti na kuandikwa na kanisa katoliki kwa uongozi wa Roho Mtakatifu huenda hata shule uliyosoma ni ya Katoliki hilo dhehebu lako mwenyewe limefundishwa na Katoliki, Unatolea wapi ujasiri wa kuhisi una ufahamu zaidi na mjuaji zaidi ya kanisa Mwalimu?Sisi tuliopewa kuzifahamu "siri" za Ufalme wa MUNGU, tunalitizama tu hili "kanisa" la "kinafiki" na kulionea huruma maana tunajua nini utakuwa mwisho wake.
Soma Ufunuo 17:1-2
Zingua wote hao hakuna cha kanisa wala msikiti 😂😂😂😂,wazee wa fursa tu hao hamna loloteAisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
TEC na KKKT ni mabaraza mawili tofautiTEC wako KKKT na sio kkkt uwe na uelewa ndio upost haya maneno
hata yeye amewambia kuwa waunge mkono swala la kulipa kodiYani Samia kapewa makavu live na kanisa kwamba mwendazake alizingua dah noma sana
ni kweli mkuu, maana hata bei zao haziakisi utofuati na wanaolipa kodi.Kanisa liache kutaka mteremko
Limeanzisha huduma za Elimu na Afya kibiashara
Basi lilipe kodi lisitake mteremko wa kusamehewa kodi wakati linatengeneza fedha