Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Kanisa ni moja tu katoliki Takatifu na la Mitume
Lakini limeacha ukweli wa biblia linafundisha mapokeo.Yesu alitabili mbwa mwitu wataingia kundini na kulivuluga kanisa ndiyo matokeo ya kuibuka kwa UProtestant Rafiki fikilia vizuri na jinfunze usikae ndani ya box
 
Kanisa katoliki halijaweza kabisa kutuletea viongozi watenda haki,wenye upendo na kujali maisha na utu wa watu!! Ukiacha hawa wadogo tizama yule wa awamu yakwanza,yatatu na tano!! Watu tumeteseka mmmno na kanisa halikukemea bali kusifu!

Kanisa hili huwa linajali sana pesa na miradi,kufukuza/kutenga wanaokosea,kutosamehe na ukali usiostahili,kujipa utakatifu usio wakweli,usomi feki na viongoz wa kutooa/kuolewa huku kadhaa wakimega megana kisela nk. nk.

Hawastahili kukosoa kosoa madoa serikalini maana wao wanamidoa sugu!!
Umeandika Pumba tupu
 
"Wewe ndiye Petro,Na juu ya jiwe hili nitalijenga kanisa langu"
ooh kwahiyo petro ndiyo badala ya Yesu? nilidhani kanisa linajengwa juu ya msingi ambae ni yesu kristo kumbe limejengwa juu ya mwandamu petro! Ukristo hovyo kabisa huo bora kuwa mpagani tu
 
Meko atakufa na mtu. Yale magoti yote Yale??????. Kweli naanza kuamini majaribu ya Yesu pale mlimani yalikuwa mgumu.

Tunapofanya Toba tutafakari na matendo yetu. Asante.
 
Yule kwa Imani ya kikristo alipaswa KUTENGWA.
Walimheshimu usoni rohoni hawakuwa pamoja naye,Sifa ya viongozi wa dini waliosoma phylosoph huwa hawabishani kwa mtu asiyeshaulika.
Wangelazimisha angeua wengi kwa siri kupitia mamlaka.

Fikiri leo SAMIA kapewa risala nzito,then kikao cha ndani(siri) na maaskofu.
"YULE ALIKUWA MUUMINI KAIDI"kwa mwavuli wa Amani
 
Hakuwa Mkristo bali aliingia kanisani kupiga picha.
Mkristo halisi ni lazima aiishi sala ya Bwana.Yaani Baba yetu uliye mbinguni.......
 
Back
Top Bottom