Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Serikali ilitaifisha Ila kuna bàadhi wamesharejeshewa kama Forodhani ambayo Kwa sasa ni St.Joseph IPO Primary na A level. Ziko nyingine pia walirejeshewa.

Kuna kipindi wakati wa kikwete kama sikosei walikuwa na mchakato wa kuomba kurejeshewa nyingine ikiwemo Pugu Secondary, Kikakala, Weruweru, Tabora zote n.k. Kifupi shule nyingi kongwe unazozisikia ni za Kanisa Katoliki na zilikuwa na majina ya Kikatoliki mfano Kikakala iliitwa Marian, Weruweru Assupmpta n.k.
Kwa sasa walipewa mkakati wakitaka kurudishiwa basi wajenge new premises kwa kuhamishia wanafunzi na wao waachiwe majengo yao
 
makanisa ya kilokole hayana mifuno, askofu huyo huyo, Mweka hazina huyo huyo, Mtafuta manunuzi ya kanisa huyo huyo, Mtunza stoo huyo huyo, Signatory wa benki huyo huyo, Mwenyekiti wa bodi ya kanisa huyo huyo, mwesabu sadaka huyo huyo..
Mtumiaji wa sadaka huyo huyo.
 
aise hawa ndo watz ,nchi hii tunasafari ndefu Sana,kuponya akili za hawa watz jmn.
 
Mh Rais SSH alipobuni salamu yake minong'ono ikawa ni kuepuka kumsifu Yesu Kristo ktk salamu husika! Leo mama huyu kwa sauti laini iliyolegea amemsifu Yesu Kristo mpaka nikahisi mama ameshaungama na kuachana na uisilamu[emoji12]!

Yaani anapendezea anapoisema salamu hiyo! Kuna kauvuvio flani hivi! Hongera mama, ni mwanzo mzuri, umevuka kiunzi kingine kuelekea kuwa mlay[emoji12], tena wa nguvu[emoji123]!

Nakupenda rais wangu kaza buti, usicheke na wapigaji...hapo nitakupenda daima...umeelewa lakini mama, ninaupendo wenye mashariti! Yaani timiza majukumu yako kama rais, nami nitakupenda kama rais wangu!
One love[emoji12][emoji3590]!
Hakuna mwanaccm hasiye Mkristu , aidha wa moja kwa moja au wa kisiasa.
 
Ndugu zetu wakristo kwenye hili kuna mambo mawili inabidi muyajue
1-Sisi waislam kumtaja kwa wema Yesu ama masihi ni katika imani yetu na ndio maana kila anapotajwa tuna malizia kwa maneno amani ya M/Mungu iwe juu yake kwa sababu sisi hatubagui katika mitume ya M/Mungu kwahy kwa mama Samia kumsifu Yesu bado hajakiuka misingi ya dini yake
2-Uislam ingawaje umependekeza Ssalam Alykum kua ni salam yetu lakin haujakataza kusalimiana kwa salam nyingine na hakuna dhambi katika kuwasalimia watu kwa salam yao
3-Hili ni nyongeza maana ya Assalam a'lykum wa Rrahma tul-Llahi wa barakatuh ni Amani iwe juu yako/yenu na rehema za M/Mungu na baraka zake kwa maneno mengine ni kama nyinyi mnavyosema amani ya bwana iwe nanyi tofauti ni lugha
 
Hawana mifumo kabisa watu wanatoka Mbezi mwisho kuna kanisa la TAG anaenda kusali Kimara TAG. Mara nyingi makanisa haya wanamfuata mchungaji na si mfumo wa kanisa. Akifa mchungaji wanasambaratika

Hivi Kanisa la Askofu Rashid bado lipo au limeshauzwa.Askofu Rashid baada ya kubaini sadaka zimepungua kalikimbia kanis.
 
Bahati mbaya hata hiyo ufunuo 17:1 hujaelewa hata tafsiri yake.Catholic church ndio msingi wa ukirsto duniani.Litakapoyumba ukristo nao utayumba.

Msingi wa ukristo ni Kristo mwenyewe haya madhehebu yote narudia tena yoooote yameanzishwa na wanadamu.

Hakuna dhehebu lolote chini ya jua ambalo litampeleka mtu / waumini mbingini.
 
Back
Top Bottom