Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kweli tulipotea mahali..., Mbona hakuna mtu anayesifu mizimu ya babu zetu na hatusemi kitu...
Au ndio tunaona babu zetu / tulipotoka walikuwa wapuuzi na hizi imani za sasa ndio ustaarabu ?.., Mimi hata angesimama hapo akasifu mashetani (So long as anafuata Katiba na hatoi dhihaka kwa yoyote sioni shida) Pia when in Rome do as Romans..., yupo kwenye Nyumba ya wasifu Kristu..., sasa ulitaka amsifu nani, yeye kama kiongozi ?
Pia kumbuka kwake huyo yeye ananmtambua kama Nabii Issa (Sio kwamba hamtambui); though that's neither here nor there....
Tuache hayo tujenge taifa lenye wananchi wenye imani tofauti