Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Hivi tulichelewa wapi kumpata huyu Rais? Hakika natafakari sipati jibu. Na ninakuhakikishia Kanisa Katoliki watarejeshewa shule zao zote. Halafu muone zitajavyokarabatiwa na kufaulisha Kwa viwango. Hawa wakatoliki ni kiboko. Ni intellectuals kwelikweli.
Tunakuombea maisha marefu mama yetu.
 
Wewe hata mume wako akishindwa kusimamisha jogoo akupande unasingizia yule dikteta
Hivi hujui dikteta alifanya mpaka mitalimbo isinyae? Maisha magumu tuliambiwa tuishi kama mashetani unafikiri kisaikilojia hata machine itasimama iweze kupitisha Moto? Lile jitu angeendelea kuwepo tungejeuka hanithi.
 
Kanisa katoliki halijaweza kabisa kutuletea viongozi watenda haki,wenye upendo na kujali maisha na utu wa watu!! Ukiacha hawa wadogo tizama yule wa awamu yakwanza,yatatu na tano!! Watu tumeteseka mmmno na kanisa halikukemea bali kusifu!
Kanisa hili huwa linajali sana pesa na miradi,kufukuza/kutenga wanaokosea,kutosamehe na ukali usiostahili,kujipa utakatifu usio wakweli,usomi feki na viongoz wa kutooa/kuolewa huku kadhaa wakimega megana kisela nk. nk.
Hawastahili kukosoa kosoa madoa serikalini maana wao wanamidoa sugu!!
Fact.View attachment 1829380
20210625_133559.jpg
 
Hivi tulichelewa wapi kumpata huyu Rais? Hakika natafakari sipati jibu. Na ninakuhakikishia Kanisa Katoliki watarejeshewa shule zao zote. Halafu muone zitajavyokarabatiwa na kufaulisha Kwa viwango. Hawa wakatoliki ni kiboko. Ni intellectuals kwelikweli.
Tunakuombea maisha marefu mama yetu.
Kwani waliporwa na nani?
 
Nimependa kumweka kati na kuongea naye pembeni bila media kushiriki, hiko kikao cha siri mama atajuta kuwafahamu hao wazee.
Hayo ni mambo Yao wanaongea na kiongozi wa nchi. Wana media zao kibao watatoa. Hilo ndiyo Kanisa Katoliki la wenye maprofesa na PhD za ukweli Siyo kama ya Yule jitu lileeee ambaye ukiiigusia Tu unakwenda na H2O.
 
Mh Rais SSH alipobuni salamu yake minong'ono ikawa ni kuepuka kumsifu Yesu Kristo ktk salamu husika! Leo mama huyu kwa sauti laini iliyolegea amemsifu Yesu Kristo mpaka nikahisi mama ameshaungama na kuachana na uisilamu😜!

Yaani anapendezea anapoisema salamu hiyo! Kuna kauvuvio flani hivi! Hongera mama, ni mwanzo mzuri, umevuka kiunzi kingine kuelekea kuwa mlay😜, tena wa nguvu💪!

Nakupenda rais wangu kaza buti, usicheke na wapigaji...hapo nitakupenda daima...umeelewa lakini mama, ninaupendo wenye mashariti! Yaani timiza majukumu yako kama rais, nami nitakupenda kama rais wangu!
One love😜❤️!
 
Kuwe na jukwaa la pamoja la watu wa dini mbalbali sio kukutana na vikundi tofauti tofauti vya dini,utakutana na vikundi vingapi? Afu inaleta taswira ya ubaguzi na dominance kwenye imani
 
ila RC.yAANI SHULE 1400 MWAKA 70.KWELI RC NI KANISA MAMA
Yaani hakika hili Kanisa ni la wenye akili. Na viongozi wakubwa wengi walisoma hizo shule za mission. Wewe muulize JKikwete atakuhadithia.
 
Kuwe na jukwaa la pamoja la watu wa dini mbalbali sio kukutana na vikundi tofauti tofauti vya dini,utakutana na vikundi vingapi? Afu inaleta taswira ya ubaguzi na dominance kwenye imani
Yana platforms zao. Kuna TEC,CCP, BAKWATA n.k. Hivyo hatembelei kila Moja Bali ni zile taasisi zao mwavuli (umbrella) na ziko chache Sana.
 
Kwa mara ya kwanza nimemsikia mama akitamka ...."Tumsifu Yesu Kristo..."
Mimi ni muumini wa dini za jadi ila jambo la mama kutotamka maneno hayo limekuwa likivuma Sana hapa!

Ulitaka aseme SALAMAREKO,?
 
Sasa kama mama ameweza kukutana na waromani bila mtu wa katikati, kwanini wanalazimisha cdm wapeleke hoja zao kwa Shibuda, kabla ya kuzipeleka kwa rais?
 
Kuwe na jukwaa la pamoja la watu wa dini mbalbali sio kukutana na vikundi tofauti tofauti vya dini,utakutana na vikundi vingapi? Afu inaleta taswira ya ubaguzi na dominance kwenye imani
Yana platforms zao. Kuna TEC,CCP, BAKWATA n.k. Hivyo hatembelei kila Moja Bali ni zile taasisi zao mwavuli (umbrella) na ziko chache Sana.
Mimi huwa namuombea huyu Mama dua Kimya kimya tena kutoka Moyoni.
Mkuu hinifikii Mimi. Nimembeba hasa kwenye maombi binafsi na ya familia kila siku usiku.
 
Yana platforms zao. Kuna TEC,CCP, BAKWATA n.k. Hivyo hatembelei kila Moja Bali ni zile taasisi zao mwavuli (umbrella) na ziko chache Sana.
Sasa wale wahuni wa ile kamati ya amani muheza wapo chini ya nani?
 
Kuwe na jukwaa la pamoja la watu wa dini mbalbali sio kukutana na vikundi tofauti tofauti vya dini,utakutana na vikundi vingapi? Afu inaleta taswira ya ubaguzi na dominance kwenye imani
Dominance hailetwi na mh.rais, ipo kwa yenyewe, taasisi kama ya kanisa katoliki ni kubwa, kongwe na imara kuliko taasisi yoyote nyingine ya kidini chini ya jua, ukwel huu hauwezi kupuuzwa kwa jina la kutaka kubalance mambo, ndiyo maana maraisi wote wa dini zote huitwa na kwenda barazani tec kuteta na wazee. Serikali inalihitaji zaidi kanisa katoliki kuliko kanisa katoliki linavyohitaji serikali, hivyo lazima kuwepo na umoja kati yao na mnufaika ni wewe na mimi wananchi.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
... baadhi ni wanafiki sana hao maaskofu! Hapo askofu ni Niwemugizi na Ruwa'ichi tu wengine chenga linapokuja suala la kuwaonya watawala. Wanageuka na kushiriki nao karamu za dhuluma!
Niwemugizi na Ruwa'ichi tunawajua ni CHADEMA wenzako
 
Back
Top Bottom