Fabio santolo
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 321
- 241
Wote hao uliowataja si wanasiasa,we wafuatilie tu bungeni hata katika mahubiri yao utaelewa nachokwambiaGwajima, Lwakatare, msigwa hawa si walokole mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote hao uliowataja si wanasiasa,we wafuatilie tu bungeni hata katika mahubiri yao utaelewa nachokwambiaGwajima, Lwakatare, msigwa hawa si walokole mkuu?
Freemason hiloKanisa ni moja tu katoliki Takatifu na la Mitume
Ndio maana nika declare mapema mimi sina hulka za kidini. Lakini huo mtirirko unatia doa.Acha unafiki mkuu.
Kuna wasabato wapo kwenye game na huwajui, sema hao uliowataja ni ndoano dhidi ya nyangumi.
Petro ni Papa wetu, unaweza ukawa huupendi ukweli lakini ndio huo.Kanisa la mitume, mitume wake wote waliuwawa na asikari wa kirumi
Na huyo mtume petro mnae msema kuwa ni papa wa kwanza aliuwawa mwaka 64 AD na asikari wa kirumi katika mji wa rumi
Na wakati huo hata mamlaka ya kanisa wa cheo cha upapa haukuwepo.
Kumbuka cheo cha papa kimeanzishwa mnamo mwaka 312 AD yaani miaka miaka 248 baadae baada ya kifo cha Petro
Sasa huyo petro atakuwaje Papa wakwanza wa katoliki?.
ROHO WA MUNGU akuongoze maana najua umekalilishwa hivyo.
Yeeeh bhaghosha!!!! Kanisa linaitwa jina la kabila/ mji!!!!Kanisa ni moja tu katoliki Takatifu na la Mitume
Nipe evidence, imeandikwa wapi?Petro ni Papa wetu, unaweza ukawa huupendi ukweli lakini ndio huo.
Kwa mara ya kwanza nimemsikia mama akitamka ...."Tumsifu Yesu Kristo..."
Mimi ni muumini wa dini za jadi ila jambo la mama kutotamka maneno hayo limekuwa likivuma Sana hapa!
Ni kweli lakini kabisa walokole hawana mifumo na Ni udhaifu mkubwa wa kiutendaji. Hata hivyo haiondoi ukweli kuwa Roma Ni kanisa la kishetani completelymakanisa ya kilokole hayana mifuno, askofu huyo huyo, Mweka hazina huyo huyo, Mtafuta manunuzi ya kanisa huyo huyo, Mtunza stoo huyo huyo, Signatory wa benki huyo huyo, Mwenyekiti wa bodi ya kanisa huyo huyo, mwesabu sadaka huyo huyo..
Mkuu sio kila kinachoaminiwa kimeandikwa. Kumbuka lipo andiko ndani ya Biblia linalosema kuwa haya yameandikwa ili mpate kuamini ingawa yapo mengi yaliyofanyika na hayakuandikwa.Nipe evidence, imeandikwa wapi?
Laiti Biblia ingekuwa inawakilishwa kihisia na kibinafsi ninaimani kila mwanadamu angekuwa na Miungu yake kama ilivyo kuwa nyakati za Giza.Mkuu sio kila kinachoaminiwa kimeandikwa. Kumbuka lipo andiko ndani ya Biblia linalosema kuwa haya yameandikwa ili mpate kuamini ingawa yapo mengi yaliyofanyika na hayakuandikwa.
Wewe amini hivyo, achana na kutafuta ushahidi. Kuna maandiko na mapokeo, na yote hutumika pamoja.
Bhaghosha? Waruni Hawa waliomsurubu Yesu na kutesa na kuua Mitume? Waliasisi wapi kanisa? Na lini? Nakuombea siku moja neema ya Bwana ikuangazie uijue kweli nayo ikuweke huru.Lile ambalo mwasisi wake ni Yesu Kristo na Papa wake wa kwanza ni mtume Petro.
Hapa naona jinsi tulivyodanganywa, shule za katoliki zilivyoghali hivyo?
- Lengo la Shule zetu sio kufanya biashara bali kutoa huduma bila kujali uwezo wa wazazi wanaotaka kueleimisha watoto wao kama ilivyo Sera ya Serikali yako ya Awamu ya Sita
Taratibu Amesema Atakutana Na Madhehebu YoteHuu ni ukuu wa Kanisa Katoliki la Roma, wasabato na walokole na nyie tafuteni "platform" zenu ili muweze kukutana na Rais.
Hao atakutana nao kupitia CCTBaadae akutane na wasabato, walokole, waanglikana, kkkt, morovians, Menonite, na makanisa yote.
Pili akutane na wapangani wote.