Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Mimi sio Mdini lakini ina nipa shaka sana hali hii

1. Musiba ni msabato
2. Sabaya ni Msabato
3. Odunga ni Msabato
4. Josefu Ni msabato
5..........

Ndio maama wasabato hawapendi siasa. Maana hawaiwezi.

nothing personal
Unaweza kutaja wakuu wa mikoa wasabato na wapendekoste?
 
Mimi sio Mdini lakini ina nipa shaka sana hali hii

1. Musiba ni msabato
2. Sabaya ni Msabato
3. Odunga ni Msabato
4. Josefu Ni msabato
5..........

Ndio maama wasabato hawapendi siasa. Maana hawaiwezi.

nothing personal
Acha unafiki mkuu.
Kuna wasabato wapo kwenye game na huwajui, sema hao uliowataja ni ndoano dhidi ya nyangumi.
 
Nimesikia ZIGO la kilio cha Taasisi hii

Wanalia vyuo vyao vipo taabani hamna wanafunzi ..wanalia mfumo wa udahili sio conducive kwao ....
Mie labda niwashauri, walete programs nzuri ambazo ni relevant watapata tu wanafunzi
 
Mimi sio Mdini lakini ina nipa shaka sana hali hii

1. Musiba ni msabato
2. Sabaya ni Msabato
3. Odunga ni Msabato
4. Josefu Ni msabato
5..........

Ndio maama wasabato hawapendi siasa. Maana hawaiwezi.

nothing personal
Chuki inawatawala sana hawa viumbe
 
Kwa mara ya kwanza nimemsikia mama akitamka ...."Tumsifu Yesu Kristo..."
Mimi ni muumini wa dini za jadi ila jambo la mama kutotamka maneno hayo limekuwa likivuma Sana hapa!
 
5:45 Asubuhi: Anaeongea kwa sasa ni Askofu Method Kilaini na anaongelea historia ya baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania. Kilaini amesema Baraza la Maaskofu ndio uongozi wa Kanisa Katolika na lilianza na ujio wa Kanisa Katoliki mwaka 1860.
Huyu ni yule alipokea gawio la Escrow, baadaye akataka kulirudisha ila hakujua arudishe wapi maana kikapu kilikuwa kimeshaondolewa!!!
 
Walokole hawanaga hizo habari,wao ni upako tuuu kwa kwenda mbele
Ndiyo maana wakampa Magufuli tuzo ya kuishinda Covid19 siyo?

IMG_20210625_130722.jpg
 
Acha matusi ya nguoni!!! Hapa tuna jambo "takatifu" Rais SSH anakutana na TEC. Sasa kama huna cha kuchangia si ukae kimya!!! Au tupige magoti na tuombe TEC wapige magoti uone kama hujamfuata kiongozi wa Malaika?
Umeona alichocoment huyo boy kinaendana na kinachojadiliwa?
 
Wewe hata mume wako akishindwa kusimamisha jogoo akupande unasingizia yule dikteta
Mkuu utawala wa jiwe haukuwa na baraka kwa nchi yetu. Hata wewe kwa sasa unafuraha sababu ya jiwe kutangulizwa mbele za haki. Nakuona unafuraha hadi unataka Mama aongoze hadi 2030.

Kwa jiwe ulikuwa unataka atawale milele kama Yesu!
 
Mkuu utawala wa jiwe haukuwa na baraka kwa nchi yetu. Hata wewe kwa sasa unafuraha sababu ya jiwe kutangulizwa mbele za haki. Nakuona unafuraha hadi unataka Mama aongoze hadi 2030.

Kwa jiwe ulikuwa unataka atawale milele kama Yesu!
Mkuu! Mimi nina furaha siku zote! Wasio na furaha ni wale wenye msongo wa mawazo! Na kwa sababu mlikuwa na msongo wa mawazo na sasa rais anatupeleka vizuri na ccm imeji update basi mi 10 tena kwa ccm na Samia
 
Lile ambalo mwasisi wake ni Yesu Kristo na Papa wake wa kwanza ni mtume Petro.
Kanisa la mitume, mitume wake wote waliuwawa na asikari wa kirumi

Na huyo mtume petro mnae msema kuwa ni papa wa kwanza aliuwawa mwaka 64 AD na asikari wa kirumi katika mji wa rumi
Na wakati huo hata mamlaka ya kanisa wa cheo cha upapa haukuwepo.

Kumbuka cheo cha papa kimeanzishwa mnamo mwaka 312 AD yaani miaka miaka 248 baadae baada ya kifo cha Petro

Sasa huyo petro atakuwaje Papa wakwanza wa katoliki?.

ROHO WA MUNGU akuongoze maana najua umekalilishwa hivyo.
 
Back
Top Bottom