white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
No wonder B.Mkapa alisema watanzania wengi ni wapumbavu na malofa, you made me believe this statement! Hii kahawa umeinywa wapi bwashee! Au unataka kutuaminisha kuwa unajua interijensia! Unapotoa allegation kubwa kama hili toa na chanzo cha habari yako. Yaani unaongea utadhani wewe ni Nyaisonga mwenyewe.Uchaguzi wa TEC wa mara ya mwisho ulikuwa influenced na watu wa TISS. Waliweza kumpenyeza na kisha kumchagu-lisha Askofu Gervas Nyaisonga wa Jimbo la Mbeya kuwa Mwenyekiti wa TEC kwa miaka 5 kuanzia 2018. Eti ilionekana kuwa kanisa liko mbali na Serikali wakati wa Mwenyekiti Tarcissius Ngalelikumtwa wa Iringa hivyo basi wamchague Gervas Nyaisonga kwa vile ana urafiki binafsi na Jiwe.
Hapo ndipo kanisa Katoliki Tanzania liliakia poyoyo katika mstakabali wa kutetea waumini wao.
KKKT waliruka mtego wa TISS uliotaka kumtoa Dr Shoo
Unategemea jema gani kutoka kwa sukumagang hasa watu kama Muraga?Kuna watu wakishavimbiwa makande lazima walete humu pumba zao
MATAGA hoyeeeeeeeeeeKwa bahati mbaya sana Uongozi wa juu kabisa wa nchi hii umehodhiwa na dhehebu(catholic) na dini hiyo, (Muslim) for over sixty years now wao ndio wamekuwa wakishika all the prominent positions in this country. Unaweza usiamini ila ndio ukweli. Hivyo wakikutana wanaelewana maana hao ndio watawala halisi nchi hii.
Huyo mleta mada ni MusibaWewe umemkaribisha nyumbani kwako akaukataa mwaliko wako?
Mada zako nyingi ni za ajabu ajabu, kama hiyo nyingine hapo juu. Inawezekana akili yako ni sawa na ya huyo Mwenda zake, maana unaonyesha dalili za ajabu ajabu tokea uingie humu jukwaani.
Sasa usinilaumu, mimi nasema ninavyokusoma wewe na hizi mada zako nyingi zisizo na mwelekeo.
Kweli kabisa huu ni mwandiko wakeHuyo mleta mada ni Musiba
kuna Ile while inapotea St Joseph kule Goba imejengwa na wakristu KWA kuchangia lakini ulizia karo yake wee utakimbia.Shule imekuwa kea ajili ya watoto wa vigogo tu hadi aibu.Kanisa limegeuza huduma za elimu na afya biasharani kweli mkuu, maana hata bei zao haziakisi utofuati na wanaolipa kodi.
yaani shule za kanisa nazo bei sio mchezo
Hii ni kweli tupuHuyo hakuwa sawa kichwani.
Alikuwa na upungufu mkubwa sana kichwani mwake.
KivipAisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
Vyuo vikuu vingi vya kikatoliki vilipigwa ban hali ilikuwa mbaya nadhan lengo ilikuwa tuwe na chuo kikuu kimojaAisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
Na huo ndiyo ukweliiiii!Msemakweli ni mpenzi wa Mungu..
Lazima niwaambie ukweli ndugu zangu..
Wakumbushe alikutana na duni zote dodomaAfanye nini mridhike? Hayo makundi mengine yalimuomba wakutane?
Sipati picha angekuwa amealikwa yeye si ajabu ageshauri CAG akague sadakaMsemakweli ni mpenzi wa Mungu..
Lazima niwaambie ukweli ndugu zangu..
Makao makuu ya Kanisa Katoliki ni Vatican. Mji mkuu wa Italy ni Rome. Roma ni nini?Ndugu yangu watu wengi wanaojiita "Wakristo" hawajui kuwa Ufunuo aya ya 17 na 18, anayezungumziwa ni kanisa katoliki. Siri hii nawapa leo, yule KAHABA ni kanisa katoliki na mji ule mkubwa wenye uflame juu ya wafalme wa nchi ni jiji la Roma.
Mwenye masikio na asikie.