Mh Rais SSH alipobuni salamu yake minong'ono ikawa ni kuepuka kumsifu Yesu Kristo ktk salamu husika! Leo mama huyu kwa sauti laini iliyolegea amemsifu Yesu Kristo mpaka nikahisi mama ameshaungama na kuachana na uisilamu😜!
Yaani anapendezea anapoisema salamu hiyo! Kuna kauvuvio flani hivi! Hongera mama, ni mwanzo mzuri, umevuka kiunzi kingine kuelekea kuwa mlay😜, tena wa nguvu💪!
Nakupenda rais wangu kaza buti, usicheke na wapigaji...hapo nitakupenda daima...umeelewa lakini mama, ninaupendo wenye mashariti! Yaani timiza majukumu yako kama rais, nami nitakupenda kama rais wangu!
One love😜❤️!