Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

WASUKUMA WASHAMBA SANA,KUONJA KUKAA JUMBA KUU TU,MUMEKUWA NA KELELE SANA.R.I.P NYERERE
 
Acha unafiki wewe toka lini MWENDAZAKE MASALIA, akampenda Mama Samia?kuna mtu aliyewagawa WaTz, kama mwendazake(shame on u), kilio walichotoa leo hao TEC, ndio kilio cha madhehebu yote, tena inawezekana kwa wengine huko ndio msiba kabisa!!ila jamaa hakuwa na roho za ubinadamu kabisa, eti niombeeni , daaa!!hao unaowaomba wakuombee kumbe vituko unavyowafanyia, KIBWENGO asubiri!!!MUNGU FUNDI
Kuna wakati huwa najiuliza nashindwa kupata jibu hawa wafuasi wa magufuli walitakaje labda ? Walitaka magufuli asife jambo ambalo hawa uamuzi wao au walitaka katiba ipindishwe makamu wa rais asiapishwe kuwa Rais JMT au walitakaje maana hata siwaelewi.
 
Hizi fitina zenu na majungu hazitawasaidia pumbavu nyie.
 
WASUKUMA WASHAMBA SANA,KUONJA KUKAA JUMBA KUU TU,MUMEKUWA NA KELELE SANA.R.I.P NYERERE
Yan hawa kwakweli si wa kuwapa tena nchi hawa na ikibidi kizazi cha wasukuma chote kilicho pandikizwa na magufuli kiondolewe kwenye system maana wamekuwa wajinga jinga tu sijui walitaka magufuli asife au walitaka katiba ipindishwe maana ni wakulalamika mda wote bora hata huyo muasisi wao wa ukabila aluvyo twaliwa maana wangeleta shida sana hawa
 
makanisa ya kilokole hayana mifuno, askofu huyo huyo, Mweka hazina huyo huyo, Mtafuta manunuzi ya kanisa huyo huyo, Mtunza stoo huyo huyo, Signatory wa benki huyo huyo, Mwenyekiti wa bodi ya kanisa huyo huyo, mwesabu sadaka huyo huyo..
😨😨😨😨😨😨
 
Mkuu WHY?

Hawana structure inayoeleweka.

Makanisa yao hayapo kitaasisi,yapo kwaajili ya mtu.Mtu au kiongozi aliterereka na Kanisa linatetereka.

Waumini wao wanamfuata mtu/ Kiongozi badala ya mafundisho.

Kiongozi wa TAG kimara na TAG Kijitonyama kila mmoja ana mafundisho yake na namna yake ya kuendesha Ibada.Hakuna uniform wa mashirikiano ya dhati kila mmoja na lwake.

Muumini wa Kijitonyama anaweza kuliacha Kanisa lake jirani akakimbilia Ubungo kisa tu kumfuata kiongozi mwenye mbwembwe nyingi na si mafundisho yatokanayo na Biblia takatifu.


Kifupi hawa jamaa ni selfish wa kiwango cha kutisha.
 
Hongereni watakatifu msioweza ongeza hata sekunde ya uhai pamoja na kujua siri za Mungu,wakatoriki si wakamilifu na wanajua hilo kwa kuwa ni binadamu,wanahubiri upendo kwa waumini wao,wanahubiri elimu,wanahubiri neno la Mungu na mwisho wanahubiri njia za halali kujipatia kipato na uwekezaji, na siku ukiugua matibabu bora kabisa unayapata toka kwao na hospital zao
Imeandikwa, "itakufaidia nini kuupata ulimwengu wote kisha roho yako ikatupwa kwenye Jehanamu ya moto"??
 
Huo Ufunuo unaousoma umefanyiwa tafiti na kuandikwa na kanisa katoliki kwa uongozi wa Roho Mtakatifu huenda hata shule uliyosoma ni ya Katoliki hilo dhehebu lako mwenyewe limefundishwa na Katoliki, Unatolea wapi ujasiri wa kuhisi una ufahamu zaidi na mjuaji zaidi ya kanisa Mwalimu?
Wewe kweli umelewa mvinyo ya yule KAHABA. Eti Ufunuo umeandikwa na kanisa katoliki 😂😂😂

Kanisa katoliki limewafanya wengi kuwa vipofu kwa mafundisho yake ya kishetani.
 
Wewe kweli umelewa mvinyo ya yule KAHABA. Eti Ufunuo umeandikwa na kanisa katoliki [emoji23][emoji23][emoji23]

Kanisa katoliki limewafanya wengi kuwa vipofu kwa mafundisho yake ya kishetani.
Ushetani wake ni upi? na unatumia kipimo gani kupima ushetani wa kanisa kupitia mafundisho yake?

Alafu wewe ni muumini wa dhehebu gani ??
 
Makao makuu ya Kanisa Katoliki ni Vatican. Mji mkuu wa Italy ni Rome. Roma ni nini?
Wewe naye umelevywa na mvinyo ya huyo KAHABA.
Hivi hujui kuwa Vatican City ipo ndani ya Roma? (Roma Kiswahili, Rome Kiingereza)

Hebu soma hapa:

Vatican City State (Italian: Stato della Città del Vaticano;[e] Latin: Status Civitatis Vaticanae),[f][g] is an independent city state and enclave located within Rome, Italy
 
Wewe kweli umelewa mvinyo ya yule KAHABA. Eti Ufunuo umeandikwa na kanisa katoliki [emoji23][emoji23][emoji23]

Kanisa katoliki limewafanya wengi kuwa vipofu kwa mafundisho yake ya kishetani.
Tatizo la waumini wa madhehebu madogo kama yako hata kielimu uelewa wenu ni mdogo.Haujui hata aina ya vitabu vya kibiblia Haujui hata mazingira ya uandishi wake ila unajikuta unaijua Biblia kindaki ndaki [emoji23][emoji23][emoji23] Elimu elimu elimu
 
Back
Top Bottom