Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati huwa najiuliza nashindwa kupata jibu hawa wafuasi wa magufuli walitakaje labda ? Walitaka magufuli asife jambo ambalo hawa uamuzi wao au walitaka katiba ipindishwe makamu wa rais asiapishwe kuwa Rais JMT au walitakaje maana hata siwaelewi.Acha unafiki wewe toka lini MWENDAZAKE MASALIA, akampenda Mama Samia?kuna mtu aliyewagawa WaTz, kama mwendazake(shame on u), kilio walichotoa leo hao TEC, ndio kilio cha madhehebu yote, tena inawezekana kwa wengine huko ndio msiba kabisa!!ila jamaa hakuwa na roho za ubinadamu kabisa, eti niombeeni , daaa!!hao unaowaomba wakuombee kumbe vituko unavyowafanyia, KIBWENGO asubiri!!!MUNGU FUNDI
Mkuu kwa nini alichelewa? FUNGUKA.Yule dikteta alichewa kufa alipaswa afe November 2016
Yan hawa kwakweli si wa kuwapa tena nchi hawa na ikibidi kizazi cha wasukuma chote kilicho pandikizwa na magufuli kiondolewe kwenye system maana wamekuwa wajinga jinga tu sijui walitaka magufuli asife au walitaka katiba ipindishwe maana ni wakulalamika mda wote bora hata huyo muasisi wao wa ukabila aluvyo twaliwa maana wangeleta shida sana hawaWASUKUMA WASHAMBA SANA,KUONJA KUKAA JUMBA KUU TU,MUMEKUWA NA KELELE SANA.R.I.P NYERERE
😨😨😨😨😨😨makanisa ya kilokole hayana mifuno, askofu huyo huyo, Mweka hazina huyo huyo, Mtafuta manunuzi ya kanisa huyo huyo, Mtunza stoo huyo huyo, Signatory wa benki huyo huyo, Mwenyekiti wa bodi ya kanisa huyo huyo, mwesabu sadaka huyo huyo..
siyo kanisa pekee bali wafanyabiashara wengi kilio chao mojawapo kilikuwa makadirio makubwa kuliko mapato yao.Kwa Nini Wapunguziwe? Hawa Ni Wapigaji Waliokaa juu Ya Mgongo Wa Dini
Mkuu WHY?No big no hakuna viongozi wa hovyo kama TAG.
Mkuu WHY?
Mkuu Shibuda ni nani?Sasa kama mama ameweza kukutana na waromani bila mtu wa katikati, kwanini wanalazimisha cdm wapeleke hoja zao kwa Shibuda, kabla ya kuzipeleka kwa rais?
Mkuu Shibuda ni nani?
Endelea kujidanganya.Bahati mbaya hata hiyo ufunuo 17:1 hujaelewa hata tafsiri yake.Catholic church ndio msingi wa ukirsto duniani.Litakapoyumba ukristo nao utayumba.
Imeandikwa, "itakufaidia nini kuupata ulimwengu wote kisha roho yako ikatupwa kwenye Jehanamu ya moto"??Hongereni watakatifu msioweza ongeza hata sekunde ya uhai pamoja na kujua siri za Mungu,wakatoriki si wakamilifu na wanajua hilo kwa kuwa ni binadamu,wanahubiri upendo kwa waumini wao,wanahubiri elimu,wanahubiri neno la Mungu na mwisho wanahubiri njia za halali kujipatia kipato na uwekezaji, na siku ukiugua matibabu bora kabisa unayapata toka kwao na hospital zao
Wewe kweli umelewa mvinyo ya yule KAHABA. Eti Ufunuo umeandikwa na kanisa katoliki 😂😂😂Huo Ufunuo unaousoma umefanyiwa tafiti na kuandikwa na kanisa katoliki kwa uongozi wa Roho Mtakatifu huenda hata shule uliyosoma ni ya Katoliki hilo dhehebu lako mwenyewe limefundishwa na Katoliki, Unatolea wapi ujasiri wa kuhisi una ufahamu zaidi na mjuaji zaidi ya kanisa Mwalimu?
Jibu unalo.Makao makuu ya Kanisa Katoliki ni Vatican. Mji mkuu wa Italy ni Rome. Roma ni nini?
Ushetani wake ni upi? na unatumia kipimo gani kupima ushetani wa kanisa kupitia mafundisho yake?Wewe kweli umelewa mvinyo ya yule KAHABA. Eti Ufunuo umeandikwa na kanisa katoliki [emoji23][emoji23][emoji23]
Kanisa katoliki limewafanya wengi kuwa vipofu kwa mafundisho yake ya kishetani.
Wewe naye umelevywa na mvinyo ya huyo KAHABA.Makao makuu ya Kanisa Katoliki ni Vatican. Mji mkuu wa Italy ni Rome. Roma ni nini?
Tatizo la waumini wa madhehebu madogo kama yako hata kielimu uelewa wenu ni mdogo.Haujui hata aina ya vitabu vya kibiblia Haujui hata mazingira ya uandishi wake ila unajikuta unaijua Biblia kindaki ndaki [emoji23][emoji23][emoji23] Elimu elimu elimuWewe kweli umelewa mvinyo ya yule KAHABA. Eti Ufunuo umeandikwa na kanisa katoliki [emoji23][emoji23][emoji23]
Kanisa katoliki limewafanya wengi kuwa vipofu kwa mafundisho yake ya kishetani.