Nenda kakojoe , kisha ulale , usingizi umeshakulevya usije jikojolea bure kitandaniKitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Uko na Ratiba yake yote ?Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Mh Rais SSH alipobuni salamu yake minong'ono ikawa ni kuepuka kumsifu Yesu Kristo ktk salamu husika! Leo mama huyu kwa sauti laini iliyolegea amemsifu Yesu Kristo mpaka nikahisi mama ameshaungama na kuachana na uisilamu😜!
Yaani anapendezea anapoisema salamu hiyo! Kuna kauvuvio flani hivi! Hongera mama, ni mwanzo mzuri, umevuka kiunzi kingine kuelekea kuwa mlay😜, tena wa nguvu💪!
Nakupenda rais wangu kaza buti, usicheke na wapigaji...hapo nitakupenda daima...umeelewa lakini mama, ninaupendo wenye mashariti! Yaani timiza majukumu yako kama rais, nami nitakupenda kama rais wangu!
One love😜❤️!
Malizia..Msemakweli ni mpenzi wa Mungu..
Lazima niwaambie ukweli ndugu zangu..
Usitake kuchezea watu akili, wakristo hawana tatizo kuhusu Madam President kakutana/kafanya mazungumzo na madhehebu gani ya Dini cha muhimu ni alitaka kutoa ujumbe gani kwa Watanzania - dhehebu ambalo baadhi ya waumini wao wamekubuhu katika fani ya ulalamishi mbona wanajulikana sana na wewe bila shaka ni mu umini wa dhehebu hili ndio maana hulitaji hapa - usifikiri Watanzania hatuna akili za kukosoma kisaikolijia - bottom line is: Punguzeni malalamishi yasiyo kuwa na kichwa wala miguu!!Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Mkuu, CATHOLIC is the BIG DICK dunia nzima. Unataka amani na maendeleo basi shirikiana nao kwa ukaribu..hii haina ubishi ila ukijisikia unaweza bisha.Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Alikuwa mnafiki sana, alikera.Nilikuwa nakerwa sana na hii kali yake!
Hiyo basi ilikua ni kakikao tu ka kawaida ndio maana waliongea petty issue za tende.Umesahau alipokutana na Viongozi wa BAKWATA wakaomba tende ziondolewe kodi kipindi cha mfungo?
Mtajua wenyeweDhehebu kuu la wasukuma ni wakatoliki.
Hawa waliomba kukutana nae walikuwa na burning issues kuhusu taasisi zao za Afya na elimu, walibambikizwa kodi tangu mwaka 2016 kitu ambacho hakijawahi kutokea toka nchi ipate Uhuru.Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Mimi ni mkristo lakini napenda kutumia neno Allahu Akber .....!Astaghfirullah!!!!!
Mimi ni mkristo lakini napenda kutumia neno Allahu Akber .....!najua kusoma suratul kursi na mengi sana.Astaghfirullah!!!!!
When in tome do what romans do..Mh Rais SSH alipobuni salamu yake minong'ono ikawa ni kuepuka kumsifu Yesu Kristo ktk salamu husika! Leo mama huyu kwa sauti laini iliyolegea amemsifu Yesu Kristo mpaka nikahisi mama ameshaungama na kuachana na uisilamu😜!
Yaani anapendezea anapoisema salamu hiyo! Kuna kauvuvio flani hivi! Hongera mama, ni mwanzo mzuri, umevuka kiunzi kingine kuelekea kuwa mlay😜, tena wa nguvu💪!
Nakupenda rais wangu kaza buti, usicheke na wapigaji...hapo nitakupenda daima...umeelewa lakini mama, ninaupendo wenye mashariti! Yaani timiza majukumu yako kama rais, nami nitakupenda kama rais wangu!
One love😜❤️!