Wewe ni mwendawazimu.Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Rais Samiha alialikwa na viongozi wa kikatoliki sasa ulitaka yeye awaite wengine kwenye hicho kikao?