Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Wewe ni mwendawazimu.
Rais Samiha alialikwa na viongozi wa kikatoliki sasa ulitaka yeye awaite wengine kwenye hicho kikao?
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Jamani basi mpangieni Mh. rais watu wa kukutana nao maana nyie ndiyo mnaojuwa majukumu yake
 
...watu wengine sijui wanafikiria na masaburi au ,!!
She is very experienced na mambo haya ya problem solving tree..kama hujui kuliko huyo aliyekuwa na PhD feki ya kukrem periodic table tena very few elements....

Yeye tena Mama jana kasema anataka kukutana na madhehebu yote separately kwanza...sasa tatizo lipo wapi ?

Mlizoea story za Jiwe za warembo weupe, sijui zaeni tuu km popo au mabeberu hewa ?

Hii number nyingine kabisa...ipo brain hapo na ataupiga mwingi saaaana...
Hahahaha eti PhD feki ya kukariri periodic table [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Kwahiyo wewe unajua kwa mujibu wa ratiba zake tayari amemaliza?
 
Papaaa upo nchi gani,Raisi ameiahakutana na viongozi wote wa dini,Dodoma,sasa hv ni wakati wa makundi,
Kila kikundi kina changamoto zake tofauti,
Roman katoliki,na lutheran,wanamiriki mashule,hospitari,viwanda,Wana jambo lao Hawa pekee,huwezi kuwalinganisha na kina kakobe,Gwajima,Lusekelo,Hawa wanamiriki jengo la kanisa tu hapa Dar,na mali kadhaa za pastor,ukifika Kibamba,hakuna kanisa la kakobe,Wala gwajima
Zaidi sana wamemualika, hakuwaalika ndo maana hawakukutania ikulu bali eneo la kanisa
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Kwa maelezo haya wewe ndiyo mdini
 
Hivi weye kwa nini siku hizi umekuwa lipuuzi?Such a fool!
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Jk na wengine waliotangulia walipokuwa wakienda msikitini, viongozi wa dini zoote hukusanyika humo?
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana

Msimfokee Mama yetu. Tambueni huyo ni rais wetu kipenzi wa JMT!

Mama atakutana na makundi yote yakiwamo vyama vya siasa.

Mbona alipokutana na uvccm Mwanza hamkutia neno?

Habari ndiyo hiyo.
 
Weyeeee...usinambie?Wakati wengine wanajenga "masibitali" kuna watu wanaomba wapunguziwe kodi kwenye tende?Astaghifirullah!😝😝😝😝
Yeah ni sawa mkuu, kila jamii ina vipaumbele vyake. Wasikilizwe...
Juice ya tende inapendwa na wengi na ni nzuri kwa afya
 
Back
Top Bottom