Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
KalagabahoKwisha habari yako.
Msigwa mnafiki sana ana maana Magufuli alikuwa anakwaza wawekezaji!Msemaji wa serikali Bwana Gerson Msigwa aposti katika ukurasa wake wa twitter kauli hiyo ambayo imezua maswali mengi kwa wananchi.Ametoa kauli hii hivi leo baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mazungumzo na mwekezaji Dangote.
Wengi wamejiuliza kwani hali ilikuwaje kabla?Wengine wakijiuliza ni nani huyo ambae aliharibu nchi kiasi hicho?
View attachment 1796261
Haya maneno ikifika mwaka 2025 yatabadilika. Stay online... we don't care Ikulu iko wapi; tunachohitaji ni UPENDO, FURAHA, HAKI, na AMANI vitamalaki nchini; that's priority #1. Mengine yanafuata.
Nitakukumbusha.... huyu Mama PR iko juu sana kuliko mtangulizi! Chama kingekuwa makini, kama ilikuwa ni lazima wawili hawa washike madaraka ya juu, basi mtangulizi aliitakiwa awe msaidizi wa Mama toka mwanzo kabisa.
Ni mtu hatari sn hafai kabisaM
Msigwa mnafiki sana ana maana Magufuli alikuwa anakwaza wawekezaji!
Mbona unateseka kamanda, vipi?Yule Bwana alikuwa anabana Makampuni halafu mwisho wa siku anataka Gawio kwa mbwembwe ni sawa na kuwa na Ng'ombe
Kalagabaho
EeenHee Heee!... huyu Mama PR iko juu sana kuliko mtangulizi! Chama kingekuwa makini, kama ilikuwa ni lazima wawili hawa washike madaraka ya juu, basi mtangulizi aliitakiwa awe msaidizi wa Mama toka mwanzo kabisa.
Ukitaka manufaa ya cement iwe Tshs. 10,000 kwa mfuko lazima kazi zingine zifanyike na macontractors waliopewa kazi kama za usafirishaji, payroll iwe sub contracted kwa watu wengine n.k ili menejimenti ya Dangote Cement ijikite katika core duties uzalishaji na kuhakikisha mashine mitambo ya viwanda inakwenda sawa.Madereva wake wameajiriwa kama contractors badala ya kupewa full time employment, hilo linawakosesha haki zao za kisheria nyingi ikiwemo uhakika wa kazi zao, kuingizwa kwenye pension schemes, kwenda likizo ya malipo, sick pay na faida wanazopewa wafanyakazi wenzao; bila ya kusahau kupoteza PAYE za TRA.
Hayo ndio mambo ya kumkubusha na yeye. Juzi tu madereva wa Dangote walikuwa kwenye mgomo kisa kuchukuliwa kama vibarua wakati watu wanafanya kazi sehemu moja zaidi ya miaka miwili, hakuna madereva wenye mkataba wa kudumu na kampuni; kuna middleman anaewapa ajira na kuwapunja kwa kuwakata kilicho chao, bila ya ulazima.
Wafanyabiashara sio kuja kuomba mazingira mazuri tu, bali na wao waweke mazingira mazuri kwa waajiriwa, sakata lote la mgomo limeenda karibu week nzima Mhagama kama alikuwa aoni vile na nina uhakika wale madereva madai yao ya msingi ayajatatuliwa.
Kujiajiri huwa kunakuja wakati tayari uko kwenye kazi ya uhakika yaani uko Ofisini unazichanga halafu unafungua ka mradiHakika mkuu, bila ajira au mazingira mazuri ya kujiajiri maisha yanakuwa magumu sana
Huyo ndie Alhaji Aliko Dangote nanaThings have changed dramatically, and I will be the champion for Tanzania
Ifungwe kabisa ina nuksi hiyo. Serikali irudi DSM majengo yanaharibika. Kule Dodoma Wizara nyingi zililazimika kujenga temporary shelter eti majengo ya kudumu ni baadaye. Utopolo huo. Wahamie Dodoma kwa awamu. Business Tycoons wako DSM. Mama Rudisha jiji letu la Kibiashara.Kuna uwezekano mkubwa, Ikulu ya Chamwino haitaendelea kutumika.
Huyu Dangote wakati anapigania kupata gas ya Mtwara, ni Magufuli aliyempigania mpaka kuagiza ajengewe bomba lake mpaka kiwandani,Safi sana Rais samiah,mataifa kama amerika mara nyingine hukubali uwekezaji utakao lipa kodi zake pengine hata kuzisaidi kukata/kupunguza baadhi ya alimradi kampuni zinazalisha ajira nyingi na kujali wafanyakazi wake, sasa mjinga mwingine anaweza zuia kampuni inayoajiri watu 10,000 bila hata sababu za msingi that's mean haoni hatari za wananchi wake 10000 kukosa kazi,anaona sawa tu,tumetoka mbali sana tusirudie kosa.
Bibie SASHA once again.." Things have changed dramatically, and I will be the champion for Tanzania that the business enviroment has chnged and that please come and invest in Tanzania!"
---Aliko Dangote
Asante Mama Samia, tunaona mwanga!
Unadhani ni kwanini Dangote amesema kuna mabadiliko Tanzania,na watu waje kuwekeza wakati alipokuwa ikulu leo?Huyu Dangote wakati anapigania kupata gas ya Mtwara, ni Magufuli aliyempigania mpaka kuagiza ajengewe bomba lake mpaka kiwandani,
alipoona vile vile wanamzingua kuhusu makaa ya mawe alimruhusu mpaka awe na eneo lake mwenyewe achimbe,
leo mnamsema kwamba alikuwa anamfanyie mizengwe,?!
kweli kama umemchoka mbwa mpe jina baya.
nyie watu man roho mbaya sana.