Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo mfanyabiashara Alhaj Aliko Dangote

Nakubaliana na wewe partly serikali izibane kampuni zote zinazochukua contacts za mashirika na kuajiri watu wengine kufanya hizo kazi. Kampuni husika lazima wafuate sheria za kazi na kuhakikisha agency workers wa muda wanapata entitlement zote.

Huo nduo utakuwa mwarobaini, utakaofanya watu kama kina Dangote waajiri badala ya kutoa contracts zisizo na lazima ili kukwepa majukumu ya kisheria.

Utakuta kwa sasa Dangote wanalipa mishahara tu kwa contractors ivyo vigezo vikiwekwa na contractor nao wataongeza charge, will that be worth it to Dangote maana hao watu wanahitaji for full time and for many years too.

Je wakiwa nje ya control zao watakuwa motivated kutokana na uhusiano wao na huyo contractor wakati Dangote wanalipa kila kitu, hayo sasa ndio yatabaki maswali kwa Dangote kama waajiri au waendelee na mfumo wa kutoa contracts kwa third parties.

Lakini haki za wafanyakazi lazima ziheshemiwe wawe wanaajiri kupitia contractor au moja kwa moja.
 
Magufuli is dead elewa hilo ata watu wafanyaje he is never coming back.

Halafu it is never about Samia vs Magufuli; it’s about sustainability ya serikali katika majukumu yake. Hapo ndipo watu wanapokosoa baadhi ya mambo.

Lakini Magu is dead sio kwamba mstaafu labda kesho utamsikia akitetea maamuzi yake kama JK au Mwinyi, yeye ni marehemu he is dead utokaa umsikie tena akiongea.

Mwacheni apumzike kwa amani sio kumsakama huko halipo.
 

Mwendazake hayati rais John Pombe Joseph Magufuli, mwenyewe alilalamikia watu wake serikalini kwa kukwamisha malengo ya Dangote kule kusini:
10 Dec 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Desemba 2016, amekutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara, Alhaji Aliko Dangot
 
Hujui chochote kuhusu hill Dogo. Katika mambo ambayo JPM alikuwa smart lilikuwa ni jinsi alivyo deal na Dangote. Utanielewa kesho!
We bint kula kulala usiejua hata bei ya tofali au nondo,
Ni upuuzi kubishana nawewe,
Subiri makande yaive ule ulalwe
 
Hizo ni loopholes za sheria zetu. Huwezi kubana mtu ambaye anafanya provided that havunji sheria za nchi. Kama hiyo sheria ni mbaya basi ibadilishwe.

Kwa kawaida wafanyabiashara hufanya mambo ambayo yatawapunguzia gharama za uendeshaji au kuepusha migogoro na wafanyakazi.
 
Waandikie watoto wako ujinga huu!
Ujinga upi kama hujui kitu kaa kimya wewe ndio mjinga,una mtukana mwenazako wakati kasema kweri alipewa kabisa eneo achimbe makaa mwenyewe akashindwa mpaka leo eneo lipo tu mm mwenyewe nalifahamu lilipo unajiona mjanja kutukana wenzako?
 
Whaaat? Aiseeee. Hakika hivi Mwendazake alikuwa ni mzaliwa wa Tanzania mwenye uchungu na hii nchi? Tungeingizwa shimo refu tusingeweza kuchomoka tena. Kumbe kweli yanayosemwa na wabunge wizi au ujambazi usiotumia silaha ni kweli?
Jiwe alikuwa ni jambazi la nyumba nyeupe
 
Inawezekana ni loophole ya kisheria inawezekana contractor afuati sheria (kwa sababu sheria wote atujaisoma inavyoonekana based on our post) tuna generalise tu.

Either way Dangote should be concerned madereva wanaosafirisha bidhaa zake, kwa kutumia ma lorry ya kampuni yake hawaridhiki na mazingira yao ya kazi.
 
Tutamsakama na kumsimanga mpaka ifanyike miujiza afufuke akatupwe Ukonga :-*😎
 
Kilatha mwekezaji anachotaka ni ku-maximize profit kadiri awezevyo. Tukubali tu kuwa ukishaamua ''kukumbatia'' wawekezaji huwezi tena kumpa vi-sharti vyako uchwara. Wengi namna wanashangalia sana hapa lakini hawajui ''marupurupu yanayokuja na uwekezaji wa kunyeyea. Naomba nieleweke kuwa sikai uwekezaji lakini nataka kutahadharisha tu mambo siyo plain kama watu wanavyodhani. Watanzania walivyo walalamishi nina uhakika soon zitasikika sauti za kulaani wawekezaji na kusema ni bora waondoke.
 
Shida kubwa ya Dangote ni mtu anaeamini in monopoly. Sehemu zote anapowekeza huwa ana bad reputation ya ku corrupt viongozi wa kisiasa ili kuua competition nahisi ndio maana hawakuwezana na mwendazake.
 
Hatimaye makamanda uchwara waukubali muziki wa chama tawala.
Acceptance ya mama SSH kwa watanzania inawauma sana nyie MATAGA! Chuki yenu kwa Rais Samia ni kwa sababu ya yeye kuleta utulivu, upendo na amani kwa wananchi. Kwendraa zenu na milegacy yenu.
 
Acceptance ya mama SSH kwa watanzania inawauma sana nyie MATAGA! Chuki yenu kwa Rais Samia ni kwa sababu ya yeye kuleta utulivu, upendo na amani kwa wananchi. Kwendraa zenu na milegacy yenu.

Hata wanaoporwa na kuibiwa huwa wametulia na wana amani hivyohivyo. Tuko zako kule na utulivu na amani uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…