Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Rais Samia amekutana na mjomba wake Oman ambaye ni mwarabu
View attachment 2261247
View attachment 2260683
Na huyo mfalme ni mwenzetu,hata Mh.Magufuli,Rais wetu,alituambia hawa ni ndugu zetu,walipotutembelea mawaziri wa nchi ya Oman,kumbe ni kweli
IMG-20220614-WA0019.jpg
 
ila akumbuke tu kwamba Ujombani hakuna urithi.
 
Back
Top Bottom