Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Alivumbua nani sasa? Watu wa bara walivukaje bahari mpaka Zanzibar?
Duh.
Kama utaweza jua maana ya "kudhoofika" na uvumbuzi wa neno hili. Utajua.

Hivi unajua ni Mwenyezi mungu ndie aliyeumba?

Umesomeka mkuu.
 
Ohooo! Kumbe ndiyo maana Wazanzibari wengi wanajiona kama Wa Oman vile, badala ya Watanzania! Kumbe mna ndugu zenu wa damu huko Oman! [emoji848]

Yaonekana hujui historia ya Zanzibar,! Zanzibar ilikuwa sehemu ya Oman, yaani Sultan wa Oman makao makuu yake yalikuwa Zanzibar(Zenj)! Zanzibar ilikuwa senta kubwa ya biashara ya watumwa ambao wengi wao walipelekwa Uarabuni, Iran, India na kadhalika ila wengi walibaki Zanzibar ambao ndo descendants wa Watumwa ambao asili yao ni kutoka Tanzania Bara, Mozambique, Uganda, Congo DRC, Rwanda Burundi, Kenya!!! Sultan aliyepinduliwa na watu weusi huko Zenj alikimbilia Uingereza(UK) kawa mkimbizi wa siasa(political refugee) na MWAKA JANA (2021) KARUDI OMAN, bado yupo hai na umri wake sasa ni miaka 93!!!!!! Je atarudi nchini mwake Zanzibar kama raia wa kawaida? God knows!(Anayejua ni Mungu)!
 
Keshokutwa mchana meli ya kwanza ya vipusa inaelekea ghuba ya uarabuni kwa mjomba.
 
Hiyo ni sawa kwa wapemba wengi wana ndugu na jamaa oman sawa na waha kuwa na ndugu burundi ni muingiliano ulikuwepo kabla ya uhuru
 
Wazanzibar ndugu zao waoman Kama ulisoma somo la history utajua
 
Lugha yao huko ughaibuni walikuwa wanaongea kiswahili fasaha kuliko hata sisi watanzania wa bara. Pia wengine walikuwa wanaongea kiha, kisukuma, kisambaa, kichanga, kihaya etc
Na Kihaya na Kisukuma na Kiha wanaongea vizuri kuliko wazawa waliobaki TZ kama ambavyo unadai wanaongea Kiswahili fasaha kuliko sisi tuliobaki TZ ????
 
Back
Top Bottom