Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Nasubiri comments za chuki kutoka kwa wafuasi wa Mwendazake na wafuasi wa Chadema, hawa ni mapacha wawili kama Cain na Abel
propaganda za kuwa tunaongozwa na Mwarabu
CHADEMA wanatoka hapo wapi wewe una shida kidogo.
 
Hivi uarabu ni Issue sana eenh? Njoo huku kwetu kijiji cha tura wilaya ya sikonge Tabora mkutane nao wanazungumza kinyamwezi kuliko hata wazawa.

Hivi mwarabu ambaye babu yake, baba yake na yeye mwenyewe walizaliwa unyamwezini bado hawakidhi sifa za kuwa wazawa?
 
Mimi jirani yetu ana mtoto Oman na ana wajukuu. Kila mwaka huwa anakwenda kuona familia. Yeye mme wake ni wale waarabu waliokuwa wanafata pembe za ndovu au watumwa, wanaamua kuzamia na kupata vimwana wa kibantu. Wengi waliokuwa na pua ndefu halafu weupe. na wowowo .
Siyo Oman tu hata Saudia watu wana ndugu ila Oman sababu waliitawala Zenj tunasahau kuwa wareno waliacha vizazi pale, waspanish nao hivyo. Zanzibar ni kama Mauritia, na nchi nyingi za visiwa ambazo wageni wa kwanza walifikia na kuvitangaza kuwa mali yao.
Sasawa kabisa,hata wahindi wamo pia,ndio walitoa umaarufu kuzalisha lile shoga malaya liimbaji Fred Mercury(Queen)
 
CCM ndio imetuletea shida yote hii
Tusubirie kuuzwa kwa mbuga na wanyama kusafirisha mchana kweupe
 
Hivi mwarabu ambaye babu yake, baba yake na yeye mwenyewe walizaliwa unyamwezini bado hawakidhi sifa za kuwa wazawa?
Nimeteleza kiuandishi, hawa ni wazawa kabisa mkuu ndiyo maana huku tunaishi nao kama wenzetu kabisa wala huwa hatuhisi utofauti kati yetu.
 
Maachallah mtu na mjomba wake wamependeza sana,, nimefurahi sana sana,,,ila kuna watu hawajapendezewa, ni chuki bado zinawatesa. Tena wakisikia tu mwarabu presha inapanda na kushuka 😁😁😁, mtakufa na chuki zenu!!

Mama piga kazi, salimia ndugu jamaa na marafiki, hao wanaokuchukia, hawatakupunguzia chochote. Allaah akuongoze na akulinde dhidi ya wabaya.
 
Sawa
20220531_114651.jpg
 
Back
Top Bottom