Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Kama Obama tu alivyokutana na Shangazi zake Kenya!!

Lkn rais wa US ni rahisi sana kumdhibiti asikiuke sheria za nchi kupendelea ndugu katika nchi nyingine.
Tatizo sisi ni nchi masikini wa mengi, tunaweza kujinasua kutoka katika mtego wa kujilegeza kwa mjomba?
Mkuu unataka kusemaje hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na Kihaya na Kisukuma na Kiha wanaongea vizuri kuliko wazawa waliobaki TZ kama ambavyo unadai wanaongea Kiswahili fasaha kuliko sisi tuliobaki TZ ????
Wengi nilikutana nao huko, wakiwa kwenye makundi makundi (wakati wa pause - break), wanaongea kwa lugha hizo hasa hasa kiswahili! Nilipowauliza nikakuta wengi wazazi wao wapo vijijini Tanzania! Nasema lugha zao hazijaingiza maneno mapya kama sisi tuliobaki hapa. Utakuta lugha zetu za asili zime/zina changanya maneno mengi mapya hasa ya kiswahili na kingereza - mifano ni mingi.
 
Na Kiswahili chao wakiwa Uarabuni kimeongeza maneno mapya ???
 
Back
Top Bottom