Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Hakuna cha ajabu hapo...Rais Samia amekutana na mjomba wake Oman ambaye ni mwarabu
View attachment 2260683
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha ajabu hapo...Rais Samia amekutana na mjomba wake Oman ambaye ni mwarabu
View attachment 2260683
Uwongo kama huo ni hatari. Weka picha ya Nyerere na mjomba wake tujue "alipora" na nani?Wamasai kama Watanzania wengine hawana ardhi. Nyerere alipora yote ya nchi ili ajenge Ujamaa wake.
Wacha uongo we mharamia!Uhamiaji useme kwa nini Nyerere alipeleka majeshi ya uvamizi Zanzibar na kuhamishia watu wa bara ili abadilishe demographics na Uislam wa Zanzibar.
Mlishindwa 1400's ,mkashindwa 1800's na Mtashindwa tuu!Mwenye haki ni serikali, siyo mtu wa Oman, siyo muEmirati, siyo Mtanzania. Kesho anaweza akaingia Rais mwingine akawapa Ngorongo Warusi. Hao Waemirati watakula chini.
Uwongo kama huo ni hatari. Weka picha ya Nyerere na mjomba wake tujue "alipora" na nani?
Wewe ni mtu hatari kwenye Jamii ya wanaJamii.
Nitakusitiri
Wacha uongo we mharamia!
Waarabu ndio waliovamia Zanzibar, tena wa Omani.
Usitafute usiyoyataka.
Tutawafufua kina Okello uone
Tutashindwa nini mbona hueleweki? Nimeandika serikali ndiyo ina haki na ardhi, ikiamua kesho Ngorongoro apewe Mchina wanaweza. Wakiamua keshokutwa apewe MuEmirati wanaweza. Mmasai kama watanzania wengine wote hana ardhi.Mlishindwa 1400's ,mkashindwa 1800's na Mtashindwa tuu!
Hautendei haki wasomaji.Alipora na Wajamaa wenzake na alianza na vijiji vya ujamaa. Kahamisha watu kinguvu ardhi walizoachiwa na mababu zao ili wakajenge ujamaa wake. Kwani weye hujui au unajitia ufyatu tuu?
Na hilo la kuvumbua ni la Uongo. Hauwezi badilisha ukweli. Ati walivumbua. Labda mduara! Toba yarabi!Walivamia au walivumbua? Huyo mganda Okello alifata nini Zanzibar?
Kitaeleweka.Tutashindwa nini mbona hueleweki? Nimeandika serikali ndiyo ina haki na ardhi, ikiamua kesho Ngorongoro apewe Mchina wanaweza. Wakiamua keshokutwa apewe MuEmirati wanaweza. Mmasai kama watanzania wengine wote hana ardhi.
Rais Samia amekutana na mjomba wake Oman ambaye ni mwarabu
View attachment 2260683
Mbona ni kawaida tu kwa Wazanzibari kwani wengi wao wana ndugu wa damu huko Oman hata huku bara nawajua watu kadhaa wana ndugu wengine hadi baba zao wapo huko Oman ni raia kabisa na wao ni Watanzania.
Hautendei haki wasimaji.
Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu
Wewe unakuja na Nyerere, nimekuuliza kama una uthibitisho wa picha ya Nyerere akiwa na Mjomba wake...waliopora tena kwa Ujamaa, sasa mie Ufyatu ni utoe wapi?
Kihalisi kama una dokeza kuwa "Kuhamishwa" na "Kuporwa" ardhi kwa Nyerere na Ujamaa na "Wajamaa" wake ni halalisho la kuporwa na kuhamishwa kwa Masai kutoka katika ardhi basi Umesomeka.
...
Nyerere hauisiani na Waarabu wa Oman, ndicho nachojua, sasa kama unaona Uhusiano huo na Bandiko la Uzi huu, sijui tujadili vipi hili suala. Ni hivyo tu.
Hivi uarabu ni Issue sana eenh? Njoo huku kwetu kijiji cha tura wilaya ya sikonge Tabora mkutane nao wanazungumza kinyamwezi kuliko hata wazawa.
Haya tusubiriKitaeleweka.
Tutashindwa nini mbona hueleweki? Nimeandika serikali ndiyo ina haki na ardhi, ikiamua kesho Ngorongoro apewe Mchina wanaweza. Wakiamua keshokutwa apewe MuEmirati wanaweza. Mmasai kama watanzania wengine wote hana ardhi.
Alivumbua nani sasa? Watu wa bara walivukaje bahari mpaka Zanzibar?Na hilo la kuvumbua ni la Uongo. Hauwezi badilisha ukweli. Ati walivumbua. Labda mduara! Toba yarabi!
Kwa hilo hata mimi linanishindaWangapi wameshamishwa nyumba zao, vijjini kwao mpaka ushangae yanayowapata Wamasai? Ndiyo nashindwa kuelewa.