mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kwa utajiri alionao Samia anaanzaje kulilia urithi?
ila akumbuke tu kwamba Ujombani hakuna urithi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila akumbuke tu kwamba Ujombani hakuna urithi.
Imekula kwako mazima mkuu Netanyahu, huyu Mungu akipenda ni mpaka 2030.Mzanzibar mwenzako anauza nchi arudi kwenu
Predictable.Hii mada mbona mnakashifiana sana
Obama alikuwa rais wa dunia kumbe kwao kenyaTukisemaga humu huyu bibi Oman ni kwao comments zetu zinafutwa....
SanaNi jambo jema sana.
Yaani unampatiaaPunguzaa jazba jombi
CHADEMA wanatoka hapo wapi wewe una shida kidogo.Nasubiri comments za chuki kutoka kwa wafuasi wa Mwendazake na wafuasi wa Chadema, hawa ni mapacha wawili kama Cain na Abel
propaganda za kuwa tunaongozwa na Mwarabu
Hivi uarabu ni Issue sana eenh? Njoo huku kwetu kijiji cha tura wilaya ya sikonge Tabora mkutane nao wanazungumza kinyamwezi kuliko hata wazawa.
Tukisemaga humu huyu bibi Oman ni kwao comments zetu zinafutwa....
Sasawa kabisa,hata wahindi wamo pia,ndio walitoa umaarufu kuzalisha lile shoga malaya liimbaji Fred Mercury(Queen)Mimi jirani yetu ana mtoto Oman na ana wajukuu. Kila mwaka huwa anakwenda kuona familia. Yeye mme wake ni wale waarabu waliokuwa wanafata pembe za ndovu au watumwa, wanaamua kuzamia na kupata vimwana wa kibantu. Wengi waliokuwa na pua ndefu halafu weupe. na wowowo .
Siyo Oman tu hata Saudia watu wana ndugu ila Oman sababu waliitawala Zenj tunasahau kuwa wareno waliacha vizazi pale, waspanish nao hivyo. Zanzibar ni kama Mauritia, na nchi nyingi za visiwa ambazo wageni wa kwanza walifikia na kuvitangaza kuwa mali yao.
Mwenyewe naona km mpemba fulani tu wa kawaidaHuyo ni mwarabu?
Nimeteleza kiuandishi, hawa ni wazawa kabisa mkuu ndiyo maana huku tunaishi nao kama wenzetu kabisa wala huwa hatuhisi utofauti kati yetu.Hivi mwarabu ambaye babu yake, baba yake na yeye mwenyewe walizaliwa unyamwezini bado hawakidhi sifa za kuwa wazawa?
CCM ndio imetuletea shida yote hii
Tusubirie kuuzwa kwa mbuga na wanyama kusafirisha mchana kweupe
safiRais Samia amekutana na mjomba wake Oman ambaye ni mwarabu
View attachment 2261247
View attachment 2260683