Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

Mama Samia asingetoboa kimaisha akaishia kuwa mama nitilie huyo mwalimu asingejitokeza kumkumbatia

Mleta mada jitahidi utoboe kimaisha utakumbatiwa hadi na walimu wako wa chekechea na watatembea kutwa barabara nzima wakitamba kuwa walikufundisha

Lakini kwa huo uchawa tu ulionao sioni kama kuna mwalimu yeyote aweza akikutana na wewe na kukukimbilia kukukumbatia

Wanakumbatiwa na kupigiwa vigelegele waliotoboa kimaisha kama Samia

Hata waliosoma naye tu sababu katoboa kimaisha atapenda kumkumbatia na kutamba kuwa nilisoma naye

Jitahidi utoboe maisha
 
Yaaani we jamaa kiboko aisee. Si kwa majibu haya
 
Jifunze kujibu swali
Jifunze kujibu swali kwa ufupi.
Komredi Mwashambwa mbona huyo msaidizi wa rais mwenye nguo za kijeshi anatabasamu? Imekaaje hii kwa mujibu wa kazi yake?
Jifunze kujibu swali kwa ufupi.
 
Hivi kumbe huyu rais ana degree 😁😁😁
Nilikuwa sijui na vile wazenji hawapendi elimu dunia
 
Inatusaidia kujuwa kuwa ukiwa juu basi usisahau na kuwasahau waliokufikisha hapo.lakini pia tujitahidi kuwatendea haki watu wote tuwapo katika sehemu zetu za kazi maana hatujui kesho watakuwa akina nani na vipi watakuwa msaada katika maisha yetu.
Sasa anavoteka watu?
 
Waalimu wangu wa chuo sitaki hata kuwaona wajinga wale.

Walikua wanagawa maksi kwa machawa wao na wanafunzi wa kike waliokuwa wanatembea nao.
Kwanini uliamua kusoma hadi chuo kikuu mkuu
 
Inatusaidia nini hii story yako hata nami nimekutanaye juzi tu aliyenifundisha sikuona cha ajabu.
 
Huyo mwalimu alifudisha program Gani, maana mwaka huo mzumbe , degree zilikuwa Bado πŸ˜‚
 
Ni kweli alimfundisha Mzumbe, lakini hakikuwa Chuo Kikuu kama unavyodai. Chuo Kikuu cha Mzumbe kimeanza rasmi mwaka 2001.
 
Wewe chawa Lucas Mwashambwa sa100 kafundishwa na mwalimu na Sio kafundishwa na professor wa economic,

Nikama vile sa100 alienda kusoma chekechea Tu.

Walio andaa propaganda,hawakuianda vizuri, wameacha makosa ya kimkakati ili maswali tazidi kuongezeka, masomi wako Huku wanamcheka Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…